Kwanini kuacha kupiga Nyeto ni ngumu sana.??

Kwanini kuacha kupiga Nyeto ni ngumu sana.??

Punyeto ina madhara sana tena makubwa kuanzia kimwili kiakili na kiroho acha mara moja ukishupaza shingo utakuja kujuta punyeto inanyonyoa mpaka nywele , inaharibu ukuaji wa ubongo , pia inapelekea mtu kusahau sahau hasa kwa wanafunzi hii ni hatari pia ukitaka uje uchapiwe bibi huko badaye. Jitahidi sana sana kuendelea na hako katabia utajuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasalaam aleikhum,kuna tafiti nyingi zimekwishatolewa zinaonyesha kwamba kupiga punyeto ni aina ya ukichaa,usishangae kuambiwa hivyo,kichaa si kuokota vyakula vya majalalani tu kuna vichaa vya aina nyingi,kwa hiyo napenda kumtaarifu yeyote mwenye tabia hii kuacha mara moja sababu ni ugonjwa wa akili.
 
Habari zenu wadau wa JF.

Hii kitu nayo inasumbua sana baadhi ya watu yaani ukizoea hii kitu inakuwa ni ngumu sana kuiacha ni nn kinapelekea inakuwa hivyo. Na vp twaweza kuwasaidia kwa walioshidwa kuacha ili waache.

NB. Punyeto husababisha kushidwa kutongoza na kukosa kujiamini kwa mpenzio. Acha kabisa hiyo kitu kama unatumia ni mbaya sana kwa matokeo ya baadae.
Nafikiri kampeni hii nyuma yake wapo jinsia KE.....

Kitu hii inawapunguzia thamani..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FAIDA ZA NYETO:

1.Ni mazoezi ya viungo
2. Inapunguza hasira
3. Haina stress za kusalitiwa
4. Inakuepusha na magonjwa ya zinaa/ UKIMWI
5. Haina gharama

Ingekuwa vema Kama ungeeleza na hasara zake ambazo ni "irreversible " and they last for long!
 
Nadhani kuacha punyeto ni ujinga kwa hali ilivyo sasa,kiuchumi,kiutamaduni na ni salama haina magonjwa.

Piga hata ikitokea ukapata matatizo muombe Mungu atakusaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwanini uache nyeto ???
nyeto ni ngono salama
hauibiwi
huwezi kuhofia mimba
hupotezi hela

vijana pigeni nyeto
Sawa mkuu Wa chama vijana wako tupo imara kuimarisha chama

young kilimanjaro
 
Back
Top Bottom