Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ndugu Watanzania hebu nijuzeni, kwanini kupima Kama una maambukizi ya COVID-19 ni hela, lakini kuchanjwa ni bure?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi. Kongole Mkuu.Kwa sababu Kinga ni bora kuliko Tiba
Ndugu Watanzania hebu nijuzeni, kwanini kupima Kama una maambukizi ya COVID-19 ni hela, lakini kuchanjwa ni bure?
Kwa nini ARV bei yake Ni $220 lakini mnapewa bure?Ndugu Watanzania hebu nijuzeni, kwanini kupima Kama una maambukizi ya COVID-19 ni hela, lakini kuchanjwa ni bure?
Mimi huwa najiuliza piaChanjo ni bure kwa kuwa unafanyiwa majaribio.
Sababu serikali imeshasaini mkataba wa mkopo, ni bure sasa hivi, ila watoto na wajukuu zetu tumewaachia zigo zito sana la deni, hadi nawahurumiaNdugu Watanzania hebu nijuzeni, kwanini kupima Kama una maambukizi ya COVID-19 ni hela, lakini kuchanjwa ni bure?
Ili mfe kwa Kidney, liver na heart failure, pia upate muda wa kutosha kuambukiza wengine wengi zaidiKwa nini ARV bei yake Ni $220 lakini mnapewa bure?
Chanjo zote huwa hatusaini fomu, hii ni kwanini unasainishwa kwamba ukipata madhara wao hawahusiki?Mimi huwa najiuliza pia
Ni hapo Bongo tu ndo wanapiga na hela. Chezeya mmatumbi weweNdugu Watanzania hebu nijuzeni, kwanini kupima Kama una maambukizi ya COVID-19 ni hela, lakini kuchanjwa ni bure?