Kwanini kuchanjwa ni bure, ila kupima COVID-19 ni kwa hela?

Ndugu Watanzania hebu nijuzeni, kwanini kupima Kama una maambukizi ya COVID-19 ni hela, lakini kuchanjwa ni bure?

Ukiona hivyo ujue chanjo imetoka kwa beberu na huyo kalazimisha iwe bure.

Ukikuta SSH na MDL system walikuwa wanailia timing kuiwekea tozo usiseme mimi nabii.
 
Nishampiga jonson hapa namskilizia...
 
Basi ushalipiwa yakheee maana wataka kila kitu kiwe bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…