Kwanini kumekuwa na story nyingi sana za kutunga mtandaoni Tanzania?

Vijana wengi wana stress mkuu. Kutunga visa na mikasa ndio umebaki ishu inayowapa engagement na jamii ya mitandao.
 
Ila watungaji kutoka mitandao yote wa Jf ndiyo watunzi wabovu zaidi

Kwanza wanazingua hawamalizi story zao
 
Nini kimetokea kuanzia JamiiForum, Facebook, Twitter na Instagram raia wengi wa Tanzania hasa vijana wanaposti visa au story nyingi mbalimbali za matukio ya uongo tu ya kutunga ya mahusiano, ndoa, uchawi n.k ?
Wamesikia SociL Media kimejaaa hela za content creation sasa wamevamia Kambi, wanapositi chochote wapate followers na likes
 
Wazanzibari wamepata nguvu sasa kule kuna mwenye akili!!!!
Huoni tunaKuja kuulizwa humu JF eti YESU NI MUNGU ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Watu wa kule ni takataka uchafu kabisa ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Nini kimetokea kuanzia JamiiForum, Facebook, Twitter na Instagram raia wengi wa Tanzania hasa vijana wanaposti visa au story nyingi mbalimbali za matukio ya uongo tu ya kutunga ya mahusiano, ndoa, uchawi n.k ?
Youth are connected to social media not protected
 
Content creator
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ