Kwanini kuna kocha maalum wa makipa?? Wapo wapi makocha wa mabeki, forwards au midfielders??

Kwanini kuna kocha maalum wa makipa?? Wapo wapi makocha wa mabeki, forwards au midfielders??

Dzonga - Afrique

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2025
Posts
569
Reaction score
1,493
(1) Kwanini kuna makocha maalum wa makipa na hakuna makocha maalum wa forwards, mildfilders au mabeki??

(3) Kwanini wachezaji wengi wastaafu wakiamua kuwa makocha basi ni wale mabeki, forwards au viuongo wa zamani na sio makipa wa zamani?? Kwanini makipa wa zamani sio makocha wakuu wa timu pindi wanapostaafu??

ANGALIZO: Usimdhuluma Mali au pesa ya mtu ambaye hajawahi kukudhulimu hapo kabla.
 
Back
Top Bottom