Kwanini kuna ugumu mkubwa kufungua kikundi cha maendeleo kisheria

Kwanini kuna ugumu mkubwa kufungua kikundi cha maendeleo kisheria

Nyalikanho

Member
Joined
Sep 17, 2017
Posts
61
Reaction score
30
wadau habari
msaada tutani... JOB tupo kama mtu tano tunahitaji kuanzisha kikundi cha maendeleo ila tunataka kukisajili kisheria ili litakapotokea lolote kila mtu awe na haki sasa changamoto inakuja kuna vipengele vingi sana tukienda kwa mwanasheria mf. lazima uwe na physical address + P.O.BOX
je kuna mdau yeyote ana experience na hii issues tuweze kuisolve au ana mfano wa watu waliothubutu kufanya hii issue na wakafanikiwa?
HOPE NIMEELEWEKA
 
Back
Top Bottom