Si kwa hawa nliowaleta kwenu mkuu..Kawaida haijaanza leo, hao wasanii wanaovuma na ngoma wanapotea wapo miaka na miaka!
Niliwahi msikia Marco Chali kwenye moja ya interview yake, alidai wasanii wengi baada ya kupata umaarufu wa ghafla huwa wanakengeuka, inawezekana sababu ni uelewa mdogo na kukosa elimu! Na alitolea mfano Chelea Man, mwanzo alikuwa fresh tu anapewa kolabo anafanya poa,ila baada ya Usiniache kuhit, jamaa akabadilika kabisa na akagombana kuanzia na meneja wake mpka producer!
Kujiheshimu tu haitoshi, hakuna mtu anaweza kumbania msanii mkali maana hizo ni hela tayari, chunguza mara nyingi msanii mwenyewe utakuta ndo mzinguaji! Nani asiyetaka kutengeneza hela hii dunia.Si kwa hawa nliowaleta kwenu mkuu..
Wanajiheshimu sana.
Hapana..
Tufikiri zaidi.
Hapana..hapana na hapana tena.Kujiheshimu tu haitoshi, hakuna mtu anaweza kumbania msanii mkali maana hizo ni hela tayari, chunguza mara nyingi msanii mwenyewe utakuta ndo mzinguaji! Nani asiyetaka kutengeneza hela hii dunia.
Sidhani Mkuu...Wanashindwa kujisimamia mkuu nadhani hilo ndiyo tatizo kubwa kwa mf Rich Mavokali alivyoondoka WCB ndiyo ikawa ticket ya kupotea kimuziki ila yote na yote Muziki umejaa ushindani mkubwa
Pia kuna kitu nilikisahau nikwamba wasanii wengi walitoka kwa ngoma za kutungiwa ila walijaribu kutunga wao wenyewe walitoa Boko, nadhani hiyo nayo ni sababu mkuuu...