Trubarg
JF-Expert Member
- Jan 8, 2020
- 4,388
- 7,223
Habari wadau? Katika ulimwengu wa sasa mitandao ya kijamii imekuwa ni nyenzo muhimu katika kufikisha ujumbe kwa haraka.
Wakati mwingine jumbe hizi zinamanufaa makubwa kwa jamii ata nchi kwa ujumla. Nmejaribu kuangalia baadhi ya pages za instagram za wizara, mawaziri na hata wakuu wa wilaya pages zao haziruhusu utume ujumbe mpaka wakubali requests.
Nimetuma request zaidi ya miezi minne request hizo hazijawahi kusomwa hii inamaana sitaweza kufikisha ujumbe kusudiwa.
Nashauri licha ya viongozi na wizara kupost maswala yao kwenye social media waruhusu pia wananchi kuinteract nao.