Namba walizoweka hazipatikani.Itakuwa wanakwepa usumbufu maana wanajua wananchi wao wengi ni masikini na watovu wa ustaarabu.
Cheki mawasiliano yao kwenye tovuti ya bunge.
Mi nikiwa mwanafunzi wa chuo early 2010s, niliwahi kuwasiliana na waziri wa elimu wa enzi hizo kuhusu jambo fulani na akaitikia vizuri tu.
Sijui kama bado wanaweka namba zao huko.
una tatizo ganHabari wadau? Katika ulimwengu wa sasa mitandao ya kijamii imekuwa ni nyenzo muhimu katika kufikisha ujumbe kwa haraka.
Wakati mwingine jumbe hizi zinamanufaa makubwa kwa jamii ata nchi kwa ujumla. Nmejaribu kuangalia baadhi ya pages za instagram za wizara, mawaziri na hata wakuu wa wilaya pages zao haziruhusu utume ujumbe mpaka wakubali requests.
Nimetuma request zaidi ya miezi minne request hizo hazijawahi kusomwa hii inamaana sitaweza kufikisha ujumbe kusudiwa.
Nashauri licha ya viongozi na wizara kupost maswala yao kwenye social media waruhusu pia wananchi kuinteract nao.
lipi tatizoNamba walizoweka hazipatikani.
Nenda Wizarani Mkuu.Siyo kila jambo ni la kuandika kwenye comments. Kuna masuala mengine yanahitaki privacy
Waandikie barua kwenye ofisi husikaSiyo kila jambo ni la kuandika kwenye comments. Kuna masuala mengine yanahitaki privacy
Kuna mwingine yuko busy na Hamas tu sijui kazi anafanya saa ngapi.....kutwa kuongea shit mitandaonii....Habari wadau? Katika ulimwengu wa sasa mitandao ya kijamii imekuwa ni nyenzo muhimu katika kufikisha ujumbe kwa haraka.
Wakati mwingine jumbe hizi zinamanufaa makubwa kwa jamii ata nchi kwa ujumla. Nmejaribu kuangalia baadhi ya pages za instagram za wizara, mawaziri na hata wakuu wa wilaya pages zao haziruhusu utume ujumbe mpaka wakubali requests.
Nimetuma request zaidi ya miezi minne request hizo hazijawahi kusomwa hii inamaana sitaweza kufikisha ujumbe kusudiwa.
Nashauri licha ya viongozi na wizara kupost maswala yao kwenye social media waruhusu pia wananchi kuinteract nao.
ofisi ziko wazi karibu sanaWewe ni nani kati yao