Kama Azam anaweza kuuza energy Mtwara kwa bei sawa na Dsm, TBL anauza bia Bukoba kwa bei kama Dsm,
Mwananchi anauza gazeti Mbeya kwa bei sawa na Dsm, EWURA wanashindwa nini kuwa na bei moja ya mafuta Tanzania nzima?
Kwanini kuwa mbali na Dsm igeuke adhabu?