Kwanini kwa Piere Nkurunziza ni dhambi ila kwa Museveni na Kagame si dhambi?

Kwanini kwa Piere Nkurunziza ni dhambi ila kwa Museveni na Kagame si dhambi?

Upo sahihi kabisa safari hii patachimbika sana, by the way kwa nini shida ipo vitongoji vya Bujumbura tu tena sehemu moja iliyokaliwa na watusi tu

La bda hamjui
Tatizo.la Burundi sio sawa na Rwanda au uganda
Uganda ni sheria iliyobadiliahwa kkwa shinikizo la rais lakn lilikubalika bungen Kwa wing wa wabunge wa serikali kama yanavyopita hapa tz

Rwanda ni mabadiliko ya kikatiba kwanza kabla ya sheRia ni lilijadiliwa bungen wabunge wote waliridhia Kwa siri na pia kuna kura ya maoni ya.wananchi wote Rwanda hii inafanana na na wakati wa rais Harry H na pm wake George walioanzisha Marshall plan huko marekani mwaka 1930 aliyeongoza kwa miaka 15 baada ya kuongeza awamu ya tatu kwa mabadiliko ya katiba kwa ridhio la wanachi kwenye senate
Hivyo unapojadili hoja hii tutafakari hilo
 
Back
Top Bottom