Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Ety wakuuu Tz Kuna high unemployment rate
Kwanini ni vibaya vijana kwenda nchi kama
Qatar
Saudi Arabia
Oman
UAE
Kutafuta maisha. Sio sawa kwanini toeni mawazo?
Nchi za ghuba/uarabuni.GULF
Ungewauliza kwa nini kuna wenzao kila siku wanatoa milio kama siyo vilio vya kunyanyaswa na wenyeji!?Mbona wadada wa kikenya wamejazana uko mkuu na wanasemaa wanapigaa Hela.
sema na wanapigiwa sana na kuuwa na waarabu wa bwana mtumeee🤔🤔
Mimi nimesema wewe si muongo ila "unawakandia" bure ndugu zetu waarabu.😎Tukiacha unafki na kuteteana Kwenye vitu vya hovyo ukweli mchungu Waraabu Wana Roho mbaya Sana".
Ukitaka ufurahie Maisha ya uarabuni uende na Hela zako kula Maisha na sio uende kutafuta Maisha".
Sana.Wagalatia aka makafirs ndivyo walivyo.HIZO NI DHANA ZA WAGALATIA MKUU, WANA CHUKI SANA NA WAARABU.
mbona kuna watu wengi tu wanapiga maisha kule
Several documentaries zinaongelea jambo hiliTukiacha unafki na kuteteana Kwenye vitu vya hovyo ukweli mchungu Waraabu Wana Roho mbaya Sana".
Ukitaka ufurahie Maisha ya uarabuni uende na Hela zako kula Maisha na sio uende kutafuta Maisha".