Kwanini Kwenye Huu Uzi Hakuna Option ya Reply

Ooh kumbe
Tusio reply sana nami nilikuwa sijainoti..
 
Uzi upo kwenye jukwaa la great thinker mpaka upewe access na mods ndipo utaweza kuchangia mada, hii ni kuepusha kuandika ujinga kwenye nyuzi za maana!
Sasa tumeruhusiwaje kuingia huko kama ni kwa wakubwa?
 
Sasa tumeruhusiwaje kuingia huko kama ni kwa wakubwa?
Hujaruhusiwa unaweza kusoma tu ila huwezi kuchangia kitu, ni kama kule Whatsapp kwenye baadhi ya group only admin can send messages
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…