Kwanini Kwenye Huu Uzi Hakuna Option ya Reply

Kwanini Kwenye Huu Uzi Hakuna Option ya Reply

Mwanzoni jf ilikua pasua kichwa hatari kulingana namada fkilishi nazenye maana saana.
Lakini saivi imekua nivioja sana.
Jf na stress ni maji namoto..
Imagine kwamba mtu kashindwa kureply sehemu nayeyey anaanzishaa
uzi😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Jukwaa (Great Thinkers) Uzi ulipowekwa, linahitaji upewe ruhusa na Moderators uweze kutoa maoni yako huko. Nadhani.
Basi wangewaachia wasome na kujibu haohao sisi wasituruhusu hata kuuona hii haina tofauti na kutukejeli
 
Basi wangewaachia wasome na kujibu haohao sisi wasituruhusu hata kuuona hii haina tofauti na kutukejeli
Mkuu si uombe ruhusa upewe tu ili tupate maoni yako uchangie. Wewe Pia ni Great Thinker ujue.
 
lazma uwe kwenye system kama haupo unakua kama mm unalike ukileta shobo shobo unapgwa ban kabsa
 
Back
Top Bottom