matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Tunasema nchi hii ni masikini kwa sababu hatuna exposya. sasa kwa nini kusiwe na uhamasishwaji na kuondoa magogo kwenye kuchukua hizo makitu,Uhamiaji wanadai ni Watz 200000 tu ndo wanapass za kielektroniki katika ya Wtz zaidi ya M55 kwahiyo kupata pass ni anasa katika nchi yetu
jamaa anasema hakuna hayo mambo, vishoka tu ndio walia watu fedha bure wakati taratibu ziko wazi.
mkuu sijui,Hivi nchi nyingine unachukua pass kama nyanya?? Hawaulizi vidhibitisho na ushahidi wa uendako?
PAASPORT ILI USAFIRI KWENDA KIBITI AU NAMTUMBO HE HEwakuu nimekuwa nikifuatilia jamaa wanasema hakuna foreni kabisa wala msongamano kihivyo.
Najiuliza
Je, Sisi wabongo mambo ya kusafiri nje sio Hobi Yetu?
Swali lingine la uzushi, hawa uhamiaji kwa nini eti ili mtanzania apate passport lazima awe na kama sababu au ushahidi wa huko anakokwenda?
Kwa nini isingekuwa tu kama vitambulisho vya taifa, maana kila mtu anaweza kwenda mahali popote wakati wowote kutegemeana na fursa.
wakuu nimekuwa nikifuatilia jamaa wanasema hakuna foreni kabisa wala msongamano kihivyo.
Najiuliza
Je, Sisi wabongo mambo ya kusafiri nje sio Hobi Yetu?
Swali lingine la uzushi, hawa uhamiaji kwa nini eti ili mtanzania apate passport lazima awe na kama sababu au ushahidi wa huko anakokwenda?
Kwa nini isingekuwa tu kama vitambulisho vya taifa, maana kila mtu anaweza kwenda mahali popote wakati wowote kutegemeana na fursa.
Hata Wapemba wanakula popo. Tena popo wa kwao wale wakubwa na wana "species" fulani ya popo ipo Pemba tu haipatikani kwengine duniani.asante sana.
ungekuwa china ningekuambia akiza supu ya popo
nyie jamaa mnaosafiri nchi za mbali huwa mko makini sana hata kama ni divison zero au hajawahi kukanyaka shule.Foleni zilikuwa mwaka jana - mwezi wa June na July - mara walipotangaza kuwa hatuwezi kusafiri na passport ambazo muda wa kuisha umebakia miezi sita. Uhamiaji makao makuu kulikuwa ni balaa. Hivyo watu wengi wanaosafiri walibadili mwaka jana.
Boss, pengine unazungumza kwa kusikia tu, juzi na jana nilipita maeneo yale, nikaona mtu ameshika fomu yenye nambari 383 saa 5 kasoro asubuhi.wakuu nimekuwa nikifuatilia jamaa wanasema hakuna foreni kabisa wala msongamano kihivyo.
Najiuliza
Je, Sisi wabongo mambo ya kusafiri nje sio Hobi Yetu?
Swali lingine la uzushi, hawa uhamiaji kwa nini eti ili mtanzania apate passport lazima awe na kama sababu au ushahidi wa huko anakokwenda?
Kwa nini isingekuwa tu kama vitambulisho vya taifa, maana kila mtu anaweza kwenda mahali popote wakati wowote kutegemeana na fursa.
wanasema ikifika saa kumi, wote waliopo watahakikisha wanahudumiwa.Boss, pengine unazungumza kwa kusikia tu, juzi na jana nilipita maeneo yale, nikaona mtu ameshika fomu yenye nambari 383 saa 5 kasoro asubuhi.
Alifanikiwa kufanya finger print na picha saa 11 jioni, na hapo ni kwamba, wazee, wajawazito, wenye watoto chini ya miaka 4 na wagonjwa walikuwa wanaitwa kwa kuzingatia hali zao. Pengine kwa siku mbili tu pale HQ, walipokea zaidi ya maombi 2000, bado hujafuatilia maombi ya kutoka wilayani.