Kwanini kwenye kumbi za starehe wanawake huwa mnasindikizana vyooni? Mnafanyaga nini huko?

Kwanini kwenye kumbi za starehe wanawake huwa mnasindikizana vyooni? Mnafanyaga nini huko?

Umejuaje, niliondoka nao wote ila kumbe walikua watatu mwenzao alikua anabaki mezani.

Pisi zinavaa vitu vya gharama ila hamna hela, unajichukulia tu kama mafungu
Ukachukua wote watatu?😂😂
 
1. Kupeana kampani (usalama) maana kunanjemba zinakuwaga active sana.
2. kama tuna vijipochi huwezi ingia nacho atakushikia.
3. Kurekebishana nguo/nywele
Upo?
 
Mapopo wa ijumaa nawaona.

Hii leo natoboa, wanawake wa JF huwa hawaonekani bar, sijui kwa nini.
 
Back
Top Bottom