stellahthatcher
Senior Member
- Oct 14, 2015
- 168
- 165
Habari Wakuu,
Mtu aliyeumizwa sana katika kile kitu ambacho aliweka moyo wake wote, iwapo atakosa msaada wa karibu sana kutoka kwa watu wengine, itapelekea yeye kuathirika kisaikolojia kama tu ataendelea kuwa katika maumivu hayo na hata akianza mahusiano mapya anakuwa katika wasiwasi mkubwa sana.
Dalili za mtu aliyeathirika kisaikolojia ni pamoja na yeye kutowaamini wanaume wote au wanawake wote na kuwaona kuwa ni watu wabaya, kutokutaka tena kuoa au kuolewa na mtu yeyote kisa eti ameumizwa, kuamini kuwa hakuna ndoa isiyokuwa na matatizo na mateso na uchungu, kila ndoa ni mbaya tu watu wanaishi kwa ugumu, anakuwa na hali ya kuchanganyikiwa, kutokujiamini anapokuwa mbele za watu, kuona duniani si mahali salama pa kuishi ni bora afe, nk.
Haya yote yakiendelea mtu anapatwa na ugonjwa wa wasiwasi baada ya kuathirika kisaikolojia.