Kwanini kwenye makanisa ya kilokole, kisabato hakuna ombaomba nje kama Misikitini?

Kwanini kwenye makanisa ya kilokole, kisabato hakuna ombaomba nje kama Misikitini?

Binaadam tuna mitazamo tofauti mkuu
Wakristo wengi ukiwaomba hasa ukiwa kwenye sehem zao za ibaada lazima uwe na maelezo ya kujitosheleza kwanini unastahili kusaidiwa kama ni maradhi watafatailia kujua historia ya mardhi yako wajue wanakusaidiaje.
Kama ni uchumi utapewa kazi ili uanze kuzalisha vya kwako

Hivyo basi omba omba takribani 60% hawataki kupewa nyavu wanataka samaki kabisa tena aliyechemshwa.... (na wakristo wakikisaidia wanafuatilia kuhsu mwenendo kama ni afya watakuja hospitali kama ni kazi aliyekupa ataulizwa maendeleo yako mara kwa mara)
Mwisho kabisa wakristo wanafundishwa kujitegemea n kutokukata tamaa hivyo kupunguza omba omba wenye uthubutu wa kuwa nje ya makanisa
 
Back
Top Bottom