Kwanini kwenye saloon nyingi za kike huwa hamna Radio/Television?

KITAULO

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2018
Posts
1,926
Reaction score
2,797
Wanazengo kama na nyinyi mmegundua hilo hebu tupeane taarifa ni kwanini?
 
Halafu umbea wao wapige mda gani.. Radio/TV kwa zinawaletea kelele tu ni mwendo was misengenyo
 
😅mleta mada ana roho ngumu kama paka,mimi hua siingii salon za kike wala kuzikaribia,kuna siku nilimfata mtu aise niliangaliwa mpaka nikawa naogopa
uoga wako ndo ujinga wako mdogo wangu
 
Redio nyingi stori zao ni kama saluni tu, wanawake ni redio tosha.

Una charger.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…