Kwanini kwenye saloon nyingi za kike huwa hamna Radio/Television?

Kwanini kwenye saloon nyingi za kike huwa hamna Radio/Television?

Huwezi kuweka redio na redio nyenzie sehemu moja....

In Vino Veritas (In Wine Lies the Truth)
 
wanawake ni wapiga kelele ukiwawekea Tv itaongeza kelele,pia wengi ni wambeya so ukiweka Radio hawatopata nafasi ya kupiga Umbea
IMG-20200505-WA0007.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafahari wawili hawaishi zizi moja,if yo get ma point lkn...🙄😂
 
Zanini wakati Yale madude kama helmets wanayavaa muda mrefu tuu wataonaje na kusikiliza....
 
kijana utakuja kupakuliwa buree...siyo kila mtu ni mwanamke humu
Daah kumbe nlijua nimeokota embe chini ya mwarobain
Nlikua nishajikoki jinsi ya kugegeda daah hatar fayaaa

Sent by IPhone
 
kwani PM imefungwa...huyu atakuwa maji mara moja a.k.a choroko
Yaan nlikua nmekupania kinoma silaha za maangamiz zote nlielekeza kwako una bahati hakika usingechomoka nlivo na nyege hivi!!!!
Mavi yako shukuru Sana

Sent by IPhone
 
kaa nyumba ambayo ina wanawake tu tena wanaoshinda nyumbani bora kusubiri kuletewa na mabwana wao ndo utajua msingi wa swali lako.
 
Yaan nlikua nmekupania kinoma silaha za maangamiz zote nlielekeza kwako una bahati hakika usingechomoka nlivo na nyege hivi!!!!
Mavi yako shukuru Sana

Sent by IPhone

dah unatia huruma..yani unaanza kumpania mtu ambaye hata kumjua haumjui ....
 
Back
Top Bottom