wax
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 5,945
- 5,733
Ebu Fungua pm yako mrembosasa kama nimedesa unataka nini?????kwani lazima uchangie kijana mbona unakuwa unachonga sana
Sent by IPhone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu Fungua pm yako mrembosasa kama nimedesa unataka nini?????kwani lazima uchangie kijana mbona unakuwa unachonga sana
Hilo tangazo la airtel nalipenda sanaRedio nyingi stori zao ni kama saluni tu, wanawake ni redio tosha.
Una charger.?
utasukwa huku unaangalia TV mkuuWanazengo kama na nyinyi mmegundua hilo hebu tupeane taarifa ni kwanini?
😅😅😅😅😅nimecheka sna fungua Pm bhnkijana utakuja kupakuliwa buree...siyo kila mtu ni mwanamke humu
wanawake ni wapiga kelele ukiwawekea Tv itaongeza kelele,pia wengi ni wambeya so ukiweka Radio hawatopata nafasi ya kupiga Umbea
mambo😁,mwenzangu nimekumiss
Daah kumbe nlijua nimeokota embe chini ya mwarobainkijana utakuja kupakuliwa buree...siyo kila mtu ni mwanamke humu
Yaan nlikua nmekupania kinoma silaha za maangamiz zote nlielekeza kwako una bahati hakika usingechomoka nlivo na nyege hivi!!!!kwani PM imefungwa...huyu atakuwa maji mara moja a.k.a choroko
Kwasababu hawana mda wa kusikiliza wala kutazama kwa sabbu muda mwingi wao hupiga umbea tu so midomo yao inatosha kuwa radioWanazengo kama na nyinyi mmegundua hilo hebu tupeane taarifa ni kwanini?
Yaan nlikua nmekupania kinoma silaha za maangamiz zote nlielekeza kwako una bahati hakika usingechomoka nlivo na nyege hivi!!!!
Mavi yako shukuru Sana
Sent by IPhone