Kwanini land rover Discovery 4 zinawaka moto?

G777

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2020
Posts
227
Reaction score
604
Habari wakuu!

Mara kadhaa nimeona hizi gari ghafla zikiwaka moto na kuteketea,nimeona vyema Sana kuleta mjadala hapa wataalam watujuze tujue chanzo chake haswa huwa nini?

Leo tena nimeona millard Ayo Gari ya Mbunge wa masasi discovery pia imeungua,Kuna baadhi ya mafundi hawataki kutoa elimu juu ya gari aina hii ili mtu uweze kuzingatia kuepusha adha hii.

Ahsanteni na wasilisha,
 
Gari yenyewe imekatiwa bima TSH 118,000/= sidhani kama service yenyewe inafanywa Kwa wakati pengine wamefanya service ya kumwaga oil Tu...
ukigoogle kwenye mtandao WA bima utaona kiasi hicho cha pesa
 
Gari yenyewe imekatiwa bima TSH 118,000/= sidhani kama service yenyewe inafanywa Kwa wakati pengine wamefanya service ya kumwaga oil Tu...
ukigoogle kwenye mtandao WA bima utaona kiasi hicho cha pesa
Jamaa umechunguza. Ndio shida ya hizi bima za "buku jero"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…