G777
JF-Expert Member
- Aug 1, 2020
- 227
- 604
Habari wakuu!
Mara kadhaa nimeona hizi gari ghafla zikiwaka moto na kuteketea,nimeona vyema Sana kuleta mjadala hapa wataalam watujuze tujue chanzo chake haswa huwa nini?
Leo tena nimeona millard Ayo Gari ya Mbunge wa masasi discovery pia imeungua,Kuna baadhi ya mafundi hawataki kutoa elimu juu ya gari aina hii ili mtu uweze kuzingatia kuepusha adha hii.
Ahsanteni na wasilisha,