Hapa Moshi kila mwenye kampuni anapambania LandCruiser tu! Kuna wanaojitutumua kununua Landrover ila wachache mno. Nina hakika watarudi kwa Mjapan msimu wa mvua ukiisha[emoji3][emoji3] ni sawa na kampuni za Tours zilizonunua Landrovers nyingi kipindi cha Utalii ukiwa juu sana, hizo gari zilikuwa zinawachefua sana zikirudi kutoka porini ni matatizo sana....ila wenye Land cruiser mkonge wanapeta tuu... Chuma inafika inapita carwash asubuhi inarudi porini tena
[emoji3][emoji3]Hapa Moshi kila mwenye kampuni anapambania LandCruiser tu! Kuna wanaojitutumua kununua Landrover ila wachache mno. Nina hakika watarudi kwa mjapan msimu wa mvua ukiisha
hivi si ni IHz zileKwakweli twende mbele turudi nyuma Landcruiser mkonga ni mashine ya kiume. Hapa mjapani wagumu alitupa zawadi ya maisha
Diesel vipi?kwenye Maisha yangu nimemwomba Mungu nimiliki hizi gari tu. Nina uzoefu wa miaka mitatu natumia hizi gari aisee ni nzuri over watu wanavyosema unapita popote na zina stability nzuri sana barabarani. Ukitaka uzifaidi zaid tumia ambazo ni petrol hutakaa uache hizi landrover ni zaid na Zaidi.
Wazungu wenyewe wamezishtukia 🤣🤣🤣 wako zao kwa Toyota Landcruiser, Sequoia na Tacoma
Ndio zao wazungu, wamegundua mbali na sifa ila Landrover ni gari sumbufu.Kuna mdudu TUNDRA pia naitamani sana hii garii sema bado nafanya utafiti nipate ya mkono wa kulia sio LHD
Wazungu wanakuambia landrover inaweza kukufikisha popote lakini Landcruiser inweza kukutoa popote. Sijui walimaanisha nn.ndio zao wazungu, wamegundua mbali na sifa ila Landrover ni gari sumbufu.
hivi ni muingereza au mhindi?
Hapa sijaelewa, unaiitaje nzuri pamoja na hayo mapungufu yote?Kuna Land rover moja ya shirika nilikuwa nagongea gongea kipindi fulani, kwa kweli ni gari nzuri sana upande wa engine, power ya kutosha na mafuta zinakula vizuri tofauti na Toyota pia haziyumbi barabarani. Faida yake nyingine ni kwamba ukiwa Off-road huwezi kwama hata iweje, inapita popote pale ambapo pana upenyo wa njia...
Waasi wanapenda L/Cruiser 1HZ ila saizi wengine wamehamia kwenye L/Cruiser zenye 1VD-FTE huko majangwani wanakimbiza magari kama rally.Waasi hawataki ujinga na chuma ya mjapani! 1Hz kwa kwenda mbele 🤣🤣🤣 hadi ikazua mjadala kwanini waasi wananunua LC nyingi mno? Nani anawapa hizo gari?
Aliuliza bwana trump!
Hahahah wanakula bata na V8 jangwani!Waasi wanapenda L/Cruiser 1HZ ila saizi wengine wamehamia kwenye L/Cruiser zenye 1VD-FTE huko majangwani wanakimbiza magari kama rally.
Hawa jamaa sijui wanapata wali hizo gari, wanaenda sawa na UN na NATO.
Landrover can take you there but LandCruiser can take you there and back!Wazungu wanakuambia landrover inaweza kukufikisha popote lakini Landcruiser inweza kukutoa popote. Sijui walimaanisha nn.
Mazuri yake ni mengi kuliko mapungufu yake mkuu....Hapa sijaelewa, unaiitaje nzuri pamoja na hayo mapungufu yote?
Land Rover ni nzuri kwa uimara wa body zile za aluminium hata ukigongwa unarudi nyumbani unanyosha na nyundo kisha unapiga drill na kuweka pop livert.Hapa sijaelewa, unaiitaje nzuri pamoja na hayo mapungufu yote?
Mkuu inaonekana unapenda mbio, hizo injini za Petrol za Land Rover ukigusa kidogo inafunguka sana.kwenye Maisha yangu nimemwomba Mungu nimiliki hizi gari tu. Nina uzoefu wa miaka mitatu natumia hizi gari aisee ni nzuri over watu wanavyosema unapita popote na zina stability nzuri sana barabarani. Ukitaka uzifaidi zaid tumia ambazo ni petrol hutakaa uache hizi landrover ni zaid na Zaidi.
Mkuu, sasa Defender mpya 110 wametupia na air suspension, na umeme/computer kila kona. Likiroga huko porini sijui unalitoaje.Land Rover ni nzuri kwa uimara wa body zile za aluminium hata ukigongwa unarudi nyumbani unanyosha na nyundo kisha unapiga drill na kuweka pop livert.
Injini zao nzuri kwenye nguvu na ulaji wa mafuta.
Tatizo ni kwenye kuua bush,bearing na kuna Defender nyuma zina coil spring hizo hazitaki shurba ya mzigo.
Kuhusu kutulia barabarani hawajatofautiana kati ya Land Cruiser series 70 na Defender. Hizo zote ukijiroga kulala kwenye kona Kali na 80km/h lazima uguse ardhi.
Hilo dude kupata RHD ni ishu. Maana limetengenezwa US kwa soko la North America sana sana.Kuna mdudu TUNDRA pia naitamani sana hii garii sema bado nafanya utafiti nipate ya mkono wa kulia sio LHD
Lazima ulale porini, hizo zinawafaa wazee na watu wazima sio vijana.Mkuu, sasa Defender mpya 110 wametupia na air suspension, na umeme/computer kila kona. Likiroga huko porini sijui unalitoaje.