Kwanini Landrover Defender zinapendwa sana?

Hivi ni Muingereza au Mhindi?
(Land Rover is a British brand of predominantly four-wheel drive, off-road capable vehicles, owned by multinational car manufacturer Jaguar Land Rover (JLR), since 2008 a subsidiary of India's Tata Motors).

Tata Motors ni kampuni inayomilikiwa na TATA family chini mwanzilishi wake ajukikanaye kama RATAN TATA. Mwanzoni ilikuwa ni kamouni ya Uingereza kabla ya kuuzwa kwa familia ya TATA.
 
Mie naonaga hii gari ya Mhindi iko over rated.. Serikalini walizishibokea sana miaka hiyo ila wakaona zinakufa mapema kuliko Landcruser ya mkonga, wakazi diss!
Defender tdi mhindi alikuwa bado hajaanza kuimiliki kampuni ya landrover labda baada ya kuja defender puma.
 
Mkuu defender petrol hiyo itakuwa sio tdi tena na ni V8 labda.
 
Hahaha itakua haujui hata Range Rover inatengenezwa na wahindi mkuu wahindi wa TATA...waingereza walishauza share nyingi kwa TATA
Inatengenezwa na waingereza mhindi na kampuni yao TATA ni wamiliki ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…