Duh basi tumepigwaHapana. Lina engines za BMW za 3.0l. Ya petrol na diesel.
BMW wanaweka plastic components nyingi kwenye engine zao. Wanaboa saana. Japo zina nguvu na ziko efficient. Ila kwenye reliability hakuna kitu.Duh basi tumepigwa
Zinaharibika kizembe sana na jotoBMW wanaweka plastic components nyingi kwenye engine zao. Wanaboa saana. Japo zina nguvu na ziko efficient. Ila kwenye reliability hakuna kitu.
SaanaZinaharibika kizembe sana na joto
Mwamba hua nakukubali sanaa ktk hiz pingamizi kati ya LR na LC, na nime kuelewa vzr unavyo ikubali Disc series 2 v8 au HSE Range sauti ya simba lkn huumnyama wa Grenadier LR ni pembe mzee, check interior kwanza labda engine km niya BMW lkn sio mchezo kk😊Grenadier is what defender was supposed to be
Huo umeme sio mchezoMwamba hua nakukubali sanaa ktk hiz pingamizi kati ya LR na LC, na nime kuelewa vzr unavyo ikubali Disc series 2 v8 au HSE Range sauti ya simba lkn huumnyama wa Grenadier LR ni pembe mzee, check interior kwanza labda engine km niya BMW lkn sio mchezo kk😊
View attachment 2043473
View attachment 2043475
View attachment 2043476
Naona Isanga family hajatia neno hapa mzee Ford wa SA, nadhani LR za South Africa zinaweza kua heavy duties, sa'bu zao hua wana zi modify sana km Hilux Raiders za SA ni tofauti naza Japan ni gumu balaa au zamani walikua na Toyota Cressida duuh aisee zina speed alafu ni ngumu sanaHuo umeme sio mchezo
Hivi Cressida zilikuwa za ki south africa zile?Naona Isanga family hajatia neno hapa mzee Ford wa SA, nadhani LR za South Africa zinaweza kua heavy duties, sa'bu zao hua wana zi modify sana km Hilux Raiders za SA ni tofauti naza Japan ni gumu balaa au zamani walikua na Toyota Cressida duuh aisee zina speed alafu ni ngumu sana
Ni japan ila ni familia ya Mark ii, lkn Cressida kule ziliishia zile za box body, na even 505 Peogeut zaki French "punch " zile za SA ni mziki tofauti kbs mzeeHivi Cressida zilikuwa za ki south africa zile?
Ahaa najua ziko family na mark II sikujua ka walizalishaga south! Kipindi kile Made in Japan meant Quality mzee yani kila kitu on point!Ni japan ila ni familia ya Mark ii, lkn Cressida kule ziliishia zile za box body, na even 505 Peogeut zaki French "punch " zile za SA ni mziki tofauti kbs mzee
Sasa ndio nikafikiria hata LR Defender za SA zinaweza kua bora sana maana jamaa Gari zao hua ni gumu sana, naza nchi nyingine hawaruhusu kuingiza pale, mm shape za LR huwa nazipenda sanaAhaa najua ziko family na mark II sikujua ka walizalishaga south! Kipindi kile Made in Japan meant Quality mzee yani kila kitu on point!
Land rover iko vizuri hata hizi walizo update mabody ya zamani na kuweka mapya pia ziko njema ikumbukwe jamaa body zao walitumia aluminium na ribbit tu ndio maana hata ikikaa miaka 50 haiozi ukiosha inarudi kwenye ubora wake😅Sasa ndio nikafikiria hata LR Defender za SA zinaweza kua bora sana maana jamaa Gari zao hua ni gumu sana, naza nchi nyingine hawaruhusu kuingiza pale, mm shape za LR huwa nazipenda sana
Gari ya Mhindi???Mie naonaga hii gari ya Mhindi iko over rated.. Serikalini walizishibokea sana miaka hiyo ila wakaona zinakufa mapema kuliko Landcruser ya mkonga, wakazi diss!