Kwanini Landrover Defender zinapendwa sana?

Kwanini Landrover Defender zinapendwa sana?

Chumaaaa kamiiiiiliii!!

IMG_1521.JPG
IMG_1515.JPG
 
Grenadier is what defender was supposed to be
Mwamba hua nakukubali sanaa ktk hiz pingamizi kati ya LR na LC, na nime kuelewa vzr unavyo ikubali Disc series 2 v8 au HSE Range sauti ya simba lkn huumnyama wa Grenadier LR ni pembe mzee, check interior kwanza labda engine km niya BMW lkn sio mchezo kk😊

Screenshot_20211214-090448.jpg

ineos-grenadier-interior-2397309.png

GRENADIER-MAIN_i.jpg
 
Huo umeme sio mchezo
Naona Isanga family hajatia neno hapa mzee Ford wa SA, nadhani LR za South Africa zinaweza kua heavy duties, sa'bu zao hua wana zi modify sana km Hilux Raiders za SA ni tofauti naza Japan ni gumu balaa au zamani walikua na Toyota Cressida duuh aisee zina speed alafu ni ngumu sana
 
Hivi Cressida zilikuwa za ki south africa zile?
 
Ni japan ila ni familia ya Mark ii, lkn Cressida kule ziliishia zile za box body, na even 505 Peogeut zaki French "punch " zile za SA ni mziki tofauti kbs mzee
Ahaa najua ziko family na mark II sikujua ka walizalishaga south! Kipindi kile Made in Japan meant Quality mzee yani kila kitu on point!
 
Ahaa najua ziko family na mark II sikujua ka walizalishaga south! Kipindi kile Made in Japan meant Quality mzee yani kila kitu on point!
Sasa ndio nikafikiria hata LR Defender za SA zinaweza kua bora sana maana jamaa Gari zao hua ni gumu sana, naza nchi nyingine hawaruhusu kuingiza pale, mm shape za LR huwa nazipenda sana
 
Sasa ndio nikafikiria hata LR Defender za SA zinaweza kua bora sana maana jamaa Gari zao hua ni gumu sana, naza nchi nyingine hawaruhusu kuingiza pale, mm shape za LR huwa nazipenda sana
Land rover iko vizuri hata hizi walizo update mabody ya zamani na kuweka mapya pia ziko njema ikumbukwe jamaa body zao walitumia aluminium na ribbit tu ndio maana hata ikikaa miaka 50 haiozi ukiosha inarudi kwenye ubora wake😅
 
Back
Top Bottom