Naona vijana waliokosa mikopo wanawatupia lawama board kwa kushindwa kuwapa mikopo ili waweze kusoma, najua wengi wanafanya hivyo wakiwa na uchungu toka moyoni kwani kuna wengi watakosa fursa ya kuingia chuo na kutimiza ndoto zao ila kwa wale wenye wazazi wote wawili kumbukeni kuwatupia lawama hizo kwa kushindwa kuwawekea mazingira mazuri ya kuwapatia elimu pasipo stress na iwe fundisho kwenu ninyi na watoto wenu muweze kuandalia mazingira mazuri ikiwemo kusoma bila kutegemea mkopo,NIMEMALIZA.
ujue kabisa wewe unaishi kwa neema ya Mungu, pili ujue wewe ni marehemu mtarajiwa wakati wowote utaicha familia yako wanao watateseka hata kama muda huu una maisha mazuri, uwe na adabu na heshima kwani maisha hubadilika wakati wowote.Naona vijana waliokosa mikopo wanawatupia lawama board kwa kushindwa kuwapa mikopo ili waweze kusoma, najua wengi wanafanya hivyo wakiwa na uchungu toka moyoni kwani kuna wengi watakosa fursa ya kuingia chuo na kutimiza ndoto zao ila kwa wale wenye wazazi wote wawili kumbukeni kuwatupia lawama hizo kwa kushindwa kuwawekea mazingira mazuri ya kuwapatia elimu pasipo stress na iwe fundisho kwenu ninyi na watoto wenu muweze kuandalia mazingira mazuri ikiwemo kusoma bila kutegemea mkopo,NIMEMALIZA.
Ka kweli ni mzalendo U didn't show love 4 us wahanga na bod kabisa
Then God bless U
Coz no 1 iz perfect one day bro utajikwaa az sisi nau