MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Sijui Leo niandike kwa mfumo gani?
Maana kama mfumo wa hoya hoya hautoipa heshima hii nyuzi, ila niandike kwa kadili ya mtazamo chanya.
Yaani nchi hii Ina majeshi mengi yanayoitwa usalama mpaka Jeshi la Wokovu natania lakini.
Ila haiwezekani kila kitu kiwa jeshi, hatuwezi badili baadhi ya idara na kuwa majeshi wakati hakuna tofauti ya ufanisi wakati wakiwa idara na Sasa ni jeshi.
Majeshi ya asili kwenye Taifa hili ni jeshi ni pamoja na Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) na Jeshi la polisi(PT) kutokana na majukumu yao, na ndio majeshi tuliyorithi toka ukoloni.
Ila kuibuka kwa majeshi mengi kunaondolea Ile heshima iliyopo Toka kale kuhusiana na ujeshi, na Sasa kila mtu ni mwanajeshi.
Kama ilivyo wizara ya ulinzi ambapo Kuna jeshi Moja na JKT ni kamandi tu basi wizara ya mambo ya ndani libaki jeshi moja na hizi nyingine zibaki kamandi au idara.
Leo hii wizara ya mambo ya ndani Kuna majeshi yafuatayo na idara zake.
1) Jeshi la polisi
2)Jeshi la Uhamiaji
3)Jeshi la Magereza
4)Idara ya Ukimbizi
5)Idara ya Vitambulisho vya Taifa( NIDA)
6)Jeshi la Zimamoto
Kwanini zisiunganishwe zote na kuunda jeshi Moja litakalo itwa Jeshi la Usalama.
Kumbuka kazi za Jeshi la polisi zinaingiliana na Jeshi la Uhamiaji.
Kipindi hiki wote wamekimbilia barabarani na kuweka vizuizi mmoja anakagua raia na mwingine wanakagua magari.
Kazi za idara ya Ukimbizi zinaingiliana na Jeshi la Uhamiaji.
Kazi za NIDA zinamtanziko mkubwa na Uhamiaji hivyo kupelekea kuchanganya.
Kwanini jeshi la Usalama?
Kwanza itapunguza huu ukiritimba uliopo wa utitiri wa wajeshi na majina ya majeshi yao.
Pili itafanya raia kuelewa kirahisi, kumbuka kibongo bongo uaskari uhusishwa na polisi na ujeshi uhusishwa na JWTZ.
Sasa haya maorganization mengine hukoroga tu raia.
Anzisha jeshi la Usalama na liwe na kamandi zifuatazo:
1) Traffic
2) CID
3) Intelligence
4) Marine na Coastal guard linalokuja swala la Uhamiaji.
5) Border forces
4) Immigration/ passport/ visa control officers
5) Prison/ Collection officers
6) FFU/ KMKM
7) Operation na Mafunzo ya kimedani
8) Idara ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA)
9)I dara ya Wakimbizi
10)Ant robbery na madawa ya kulevya
11) Zimamoto
12) permit
Hivyo jeshi ni moja ila linakuwa na idara au kamandi.
Wakuu wake huteuliwa na Raisi kama ilivyo Sasa.
Hii itapunguza sintofahamu iliyopo Sasa,
Na kupunguza gharama za uendeshaji na hivyo kuimarisha ufanisi.
Jeshi hili la Usalama litaongozwa na Mkuu mmoja tu na kuwa na makamishna watakao simamia kamandi au idara mbalimbali.
Naomba kuwasilisha

Upvote
1