Kwanini loan restructuring na loan takeover NMB, CRDB na TCB hakifanyi kazi mpaka Leo?

Crystal field theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2014
Posts
953
Reaction score
413
Naomba Serikali na Benki Kuu ya Tanzania kueleza kwa nini huduma za Loan Restructuring na Loan Takeover katika benki kama NMB, CRDB na TCB hazifanyi kazi kwenye mfumo wa ESS?
Huduma hizi zimetangazwa kusaidia wakopaji, lakini wengi wanashindwa kuzipata mpaka Leo hii.

Tunaomba hatua zichukuliwe ili huduma hizi zipatikane kwa uwazi na usawa kwa wote wanaostahili.
 
  • Thanks
Reactions: EEX

haya mabenki ni wabishi sana kwa kuwa ni WANYONYAJI! kama NMB anajivunia kupata faida kwa kuwakamua wanyonge! hii si sawa!

hiyo loan restructuring na take over ilitakiwa wawe wamekamilisha tokea mwaka unaanza! Sjui UTUMISHI WANAPEWA RUSHWA?
 
Get up to TSh 50,000 when you pay with Mixx Lipa Kwa Simu via MIXX SUPER APP at fuel stations, supermarkets and other stores. Offer available from 4 PM to 7 PM!
 
Naomba Serikali na Benki Kuu ya Tanzania kueleza kwa nini huduma za Loan Restructuring na Loan Takeover katika benki kama NMB, CRDB na TCB hazifanyi kazi kwenye mfumo wa ESS?
Huduma hizi zimetangazwa kusaidia wakopaji, lakini wengi wanashindwa kuzipata mpaka Leo hii.

Tunaomba hatua zichukuliwe ili huduma hizi zipatikane kwa uwazi na usawa kwa wote wanaostahili.
Hizo terms zina maana gani.. restructuring, take over please qengine ni mbumbumbu wa banking business
 
Back
Top Bottom