Crystal field theory
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 953
- 413
Walisema mwezi wa saba?Subiri mwezi wa saba
haya mabenki ni wabishi sana kwa kuwa ni WANYONYAJI! kama NMB anajivunia kupata faida kwa kuwakamua wanyonge! hii si sawa!Naomba Serikali na Benki Kuu ya Tanzania kueleza kwa nini huduma za Loan Restructuring na Loan Takeover katika benki kama NMB, CRDB na TCB hazifanyi kazi kwenye mfumo wa ESS?
Huduma hizi zimetangazwa kusaidia wakopaji, lakini wengi wanashindwa kuzipata mpaka Leo hii.
Tunaomba hatua zichukuliwe ili huduma hizi zipatikane kwa uwazi na usawa kwa wote wanaostahili.
Hii ni kwa mujibu wa afisa mmoja wa NMBWalisema mwezi wa saba?
Hizo terms zina maana gani.. restructuring, take over please qengine ni mbumbumbu wa banking businessNaomba Serikali na Benki Kuu ya Tanzania kueleza kwa nini huduma za Loan Restructuring na Loan Takeover katika benki kama NMB, CRDB na TCB hazifanyi kazi kwenye mfumo wa ESS?
Huduma hizi zimetangazwa kusaidia wakopaji, lakini wengi wanashindwa kuzipata mpaka Leo hii.
Tunaomba hatua zichukuliwe ili huduma hizi zipatikane kwa uwazi na usawa kwa wote wanaostahili.