Kwanini Lulu sio top model due to its midget status

 
Unadanganya, sio kweli.

Nilivyokuwa na 16 years nilikuwa na 176 cm sasa hivi nina 185 cm


Msichana anaweza kuacha kuongezeka urefu kati ya miaka 16-18 au miaka 2-3 baada ya kuanza kupata hedhi
Mvulana ni kati ya miaka 18-21
 
Unadanganya, sio kweli.

Nilivyokuwa na 16 years nilikuwa na 176 cm sasa hivi nina 185 cm

Kwahiyo umri gani ndio mwisho wa kurefuka.. Hata mm nilifikiri mwisho 21 binadamu ndio amekamilika katika ukuaji ila nimeshangaa kusikia watu wananiambia nimeongezeka urefu.. Au mambo ya kutumia yale maziwa ya kopo ya watoto ndio yamenifanya nirefuke zaidi..
 

Usikute wao wamekuwa wafupi?
 
Mods wanakuwa wameamua kuweka hivyo ksbbu labda wanaona ina umuhimu zaidi kwa watu wasome au imependwa sana na watu..

Mi mwenyewe sijapata sababu halisi za huu uzi kuwa "sticky thread"
 
Me binafsi nakupenda sana lulu ingawa sijui nitakuona wapi nipate japo nafasi ya kukueleza yaliyo moyoni, hali inayonifanya nibakie kudownload picha zako na kuzijaza kwenye dvd kila nizionapo mitandaoni. Wallah penzi langu kwako ni la dhati ya moyo wangu na kama utakubali kuwa na mimi haki ya nani nakuahidi hauta jutia. Kama unapita kunako uzi huu au kama kuna atakayeweza kunifikishia ujumbe huu tafadhali ni pm
 
 
komba,kanumba,dr cheni,ali kiba..na umri wake miaka 19 huyu mtoto noma

Kwenye list hiyo uongeze na Lukaza, yule bosi wa kampuni ya usambazaji wa filamu ya Proin.
Ova
 
Au labda anaweza kwenda china wakamuongeza urefu huyu muuza mapenzi wa bongo movie.
 
kiukweli sijaona mantiki ya hii topic kuistick, mod atakuwa na kitu na midget lulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…