ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
- Thread starter
- #41
Ngoja niendelee kutafuta vigezo vilivyotumika kuufanya huu uzi kuwa sticky ndio nitarudi kuchangia.
sory! nini maana ya uzi kuwa sticky tueleweshane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja niendelee kutafuta vigezo vilivyotumika kuufanya huu uzi kuwa sticky ndio nitarudi kuchangia.
Kitu kikiwa kifupi sana napo shida haipendezi hakubaliane na matokeo tu no way out[/QUOTETena vinasumbua sana kwenye mgegedo wima ,shurti ukibebe!na ukitaka kuchomeka na kufyonza mtindi ndio balaa,yaani lazima upindishe mgongo kama alama ya kuuliza andunje kama huyo akiwa sweetie wako wa ukweli lazima upate kibyongo hapo baadae!
Unadanganya, sio kweli.
Nilivyokuwa na 16 years nilikuwa na 176 cm sasa hivi nina 185 cm
Msichana anaweza kuacha kuongezeka urefu kati ya miaka 16-18 au miaka 2-3 baada ya kuanza kupata hedhi
Mvulana ni kati ya miaka 18-21
Unadanganya, sio kweli.
Nilivyokuwa na 16 years nilikuwa na 176 cm sasa hivi nina 185 cm
sory! nini maana ya uzi kuwa sticky tueleweshane
Kwahiyo umri gani ndio mwisho wa kurefuka.. Hata mm nilifikiri mwisho 21 binadamu ndio amekamilika katika ukuaji ila nimeshangaa kusikia watu wananiambia nimeongezeka urefu.. Au mambo ya kutumia yale maziwa ya kopo ya watoto ndio yamenifanya nirefuke zaidi..
Mods wanakuwa wameamua kuweka hivyo ksbbu labda wanaona ina umuhimu zaidi kwa watu wasome au imependwa sana na watu..
Ufupi sio ugonjwa ndugu ni maumbile tu. By the way waweza pendelea kuvaa high heels zitasaidia.
Kitu kikiwa kifupi sana napo shida haipendezi hakubaliane na matokeo tu no way out[/QUOTETena vinasumbua sana kwenye mgegedo wima ,shurti ukibebe!na ukitaka kuchomeka na kufyonza mtindi ndio balaa,yaani lazima upindishe mgongo kama alama ya kuuliza andunje kama huyo akiwa sweetie wako wa ukweli lazima upate kibyongo hapo baadae!
Hahahaaa...ni sheeeeederr....
aende China wakamchome sindano.atarefuka tu
komba,kanumba,dr cheni,ali kiba..na umri wake miaka 19 huyu mtoto noma
kiukweli sijaona mantiki ya hii topic kuistick, mod atakuwa na kitu na midget lulu