KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
Hali ya Kongo ni tata. Banyamulenge unawaweka wapi? Wakongo ni pamoja na hao Banyamulenge ambao wengi wao wapo na M23.Ya wakongo yatamalizwa na wakongo wenyewe
Sijawasikia kitamboWale sio burundi kweli?
Burundi kuna waasi wanaitwa Red Tabala kwa sasa ila huyu rais wa Burundi kauzu zaidi ya dagaa ana namna yake ya kuwashughulikia wamebaki kuunga unga maisha kama Yanga🤣Sijawasikia kitambo
Wewe kuna mambo yako tu unayoyatafuta wewe.Hii issue ya mgogoro wa Mashariki ya Kongo ni ya kutengenezwa na wanasiasa wenye ajenda zao za siri.
Mwanzo wa M23 unafanana sana na ajenda za kisiasa zinazowabagua watu wa Kigoma kuwa ni warundi wakati sio.
M23 wanasaport kutoka wanajeshi wenzao walioko ndani ya jeshi la Kongo na silaha wanazipata kutoka jeshi la Kongo. Ndio maana wanajiamini sana, Kagame anasingiziwa tu. Cha muhimu FATSH akae meza moja na waasi wazungumze.....
Hii issue ya mgogoro wa Mashariki ya Kongo ni ya kutengenezwa na wanasiasa wenye ajenda zao za siri.
Mwanzo wa M23 unafanana sana na ajenda za kisiasa zinazowabagua watu wa Kigoma kuwa ni warundi wakati sio.
M23 wanasaport kutoka wanajeshi wenzao walioko ndani ya jeshi la Kongo na silaha wanazipata kutoka jeshi la Kongo. Ndio maana wanajiamini sana, Kagame anasingiziwa tu. Cha muhimu FATSH akae meza moja na waasi wazungumze.....
Ufaransa anatengeneza silaha na kuuza; swala zimefikaje kwenye mikono ya m23 hiyo sio ishu ya ufaransa tena,Sila za kivita zinazotumika na M23 ni brand ya Ufaransa, zinatengenezwa Ufaransa.., mfano rocket launcher wanazo za kisasa kabisa, na baadhi zilikamatwa na Tshekedi.., unataka wadhibitishe vipi tena.., pia panapotokea machafuko ya M23, mauzo ya Madini nje ya nchi ya Rwanda huwa yanapaa kwa 200% , madini ambayo Rwanda hayapatikani, mfano Cobalt na Tantulum.., hiyo maana yake nini? Na refinery destination ya hizo exports ni Ufaransa, hiyo maana yake nini?
View attachment 3214602View attachment 3214603View attachment 3214604
hawa ni m23 ukiangalia tu morphology yao unapata picha gani ni wazigua hawa?
Congo nchi kubwa lakini inashindwa kulinda mipaka yake vema. Waasi na wavamizi wanajichukulia vipande watakavyo. Congo ilitakiwa iwafagie M23 mpaka kwa anayewafadhili, wanamjua. Kinshasa tu ndio kuna usalama lakini maeneo mengine hali ya usalama ni tete