Kwanini M23 wanajiamini kiasi hiki?

Kwanini M23 wanajiamini kiasi hiki?

CHISEKEDI ANASHINDWA NINI KUTOA HATA MASANDUKU KUMI YA DHAHABU KWA MBABE PUTIN,ATUME WAGNER MESSENARIES WAJE WAKICHAFUE HAPO CHAPU KWA HARAKA!!!

DRC INAHITAJI WANAUME WA KAZI AMBAO HAWACHEKI NA KIMA,MAKAUZU,MABANDIDU,MAKATILI WAJE WAPASAFISHE HAPO AKUNG'UTWE MTU MPAKA AKUBALI SHOW SHOW!!!
 
Hii issue ya mgogoro wa Mashariki ya Kongo ni ya kutengenezwa na wanasiasa wenye ajenda zao za siri.

Mwanzo wa M23 unafanana sana na ajenda za kisiasa zinazowabagua watu wa Kigoma kuwa ni warundi wakati sio.

M23 wanasaport kutoka wanajeshi wenzao walioko ndani ya jeshi la Kongo na silaha wanazipata kutoka jeshi la Kongo. Ndio maana wanajiamini sana, Kagame anasingiziwa tu. Cha muhimu FATSH akae meza moja na waasi wazungumze.....
 
Wewe kuna mambo yako tu unayoyatafuta wewe.
 
1000345473.jpg
1000345472.jpg
1000345474.jpg

hawa ni m23 ukiangalia tu morphology yao unapata picha gani ni wazigua hawa?
 
Sila za kivita zinazotumika na M23 ni brand ya Ufaransa, zinatengenezwa Ufaransa.., mfano rocket launcher wanazo za kisasa kabisa, na baadhi zilikamatwa na Tshekedi.., unataka wadhibitishe vipi tena.., pia panapotokea machafuko ya M23, mauzo ya Madini nje ya nchi ya Rwanda huwa yanapaa kwa 200% , madini ambayo Rwanda hayapatikani, mfano Cobalt na Tantulum.., hiyo maana yake nini? Na refinery destination ya hizo exports ni Ufaransa, hiyo maana yake nini?
Ufaransa anatengeneza silaha na kuuza; swala zimefikaje kwenye mikono ya m23 hiyo sio ishu ya ufaransa tena,
Vita ya kongo na m23 wahusika wakubwa ni vigogo wa kongo wenyewe rwanda ni middle man tu
Ebu jiulize kongo ni nchi ya kulia lia na kuomba msaada kwa ajili ya kijikundi cha m23??
 
Back
Top Bottom