GE2025 Kwanini maandamano ya 29 October yatafeli vibaya sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mdomo mwingi, Mdomo wa mtandaoni ulifanya wasiotaka hiyo kitu wajiandae vyema, Huku ninyi mmebweteka na kuongozwa na hasira ya visasi.

Ukosefu wa mbinu/Plans, mtu hajui aanzie wapi akamalizie wapi jambo ambalo linaondoa uzito wa maana halisi ya maandamano.

Unafiki, Mtu saa moja kaenda kupiga kura, saa nne kaja kijiweni kuponda Watanzania waoga na kwamba hawawezi kuandamana, Saa nane na yeye yupo anakoleza moto kuunguza kituo cha police.

Kutokuweka wazi sababu ya maandamano, No motto, No mabango yenye ujumbe husika, No guidence (Pale mbele wangekuwa watu ambao wana ushawishi wa kuutaka mabadiliko waki-push kwa kuongoza kwa nyimbo na sauti mbalimbali za nini kifanyike)

Kuharibu miundombinu, hapa ndo dhahiri kulifuta meaning nzima na kufanya adui kutumia kama sababu ya kukushughulikia kwamba hayakuwa maandamano bali fujo, Wenzenu mabomu (mashambulizi ya askari) yakizidi kama ni barabarani wanakaa chini. Emagine Watu buku tano mmekaa chini barabarani wanapiga mabomu hamuondoki ni mwendo wa kunawa uso wanamwaga majinya kuwasha mnakaza, Inafika sehemu mnabaki mnaangaliana tu na hakuna anetaka kurudi nyumbani (Mabango yanabaki yanaongea) Na ikitokea wanakaza mnakaa nao hapo hata siku mbili alafu muone kama haki isingepatikana.
Hakuna mtu angepata sababu ya kuua mtu maana lolote lingefanyika kwa sehemu moja yenye watu wengi walikusanyana ingesababisha umoja huo kulidhibiti jeshi na silaha zao sehemu hiyo.

Ni hayo tu niliyoyaona mimi.
 
Maandamano hayajafeli na yamefanikiwa. Uchaguzi haukupigwa kama ulivyotarajiwa na vituo vingi vilichomwa na vingi vyao watu hawakujitokeza kupiga kura.

Sasa leteni propaganda nyengine uchwara wananchi wako imara. Haya kama umeshinda kwa kishindo kilichokufanya mfanye uapisho kwenye kambi ya jeshi ni nini?

Unafurahia haramu ambayo dunia mzima imejua kama hakukua na uchaguzi.
 
Mkuu kama yalifaulu mbona yanapangwa mengine? Unajua maana ya maandamano kwanza?

Me nimetoa somo kama yakienenda kwa uzembe uleule nakuambia tunarudia kuzika.
 
Hatutaacha mpaka Tanzania isiwe na mgeni hata mmoja
Haya sawa, Keyboard warrior nawaelewa vyema kwanza unakuta wakati huo ulikuwa chini ya uvungu wa kitanda hutaki shida na mtu, Ungekuwa front wewe si ungekuwa kwenye kesi ya uhaini mbona uko gheto sahivi mguu juu na mkono ndani ya boksa uanajisabahi ngogwe
 
Bibi yako alikimbia kuapishiwa vichakani. Mpaka Sasa anaishi kimachale machale. Haonekani. Ni kama digidigi 😆😆. Wakuu wa nchi wengi wamemkataa, hajui nini cha kufanya, yupo yupo tu. Masikini Samia.

Sasa yalifeli vipi?
 
Bibi yako alikimbia kuapishiwa vichakani. Mpaka Sasa anaishi kimachale machale. Haonekani. Ni kama digidigi 😆😆.

Sasa yalifeli vipi?
Natoa madini mnakaza shingo, Kama unahisi ulishinda haya sawa? Ungefiwa na ndugu zako ungenielewa ila kwa kuwa ukoo wenu wote waoga ndo maana mpo salama.
 
😀 😀 😀 Sema wadau mmepanic sana

Unadhani mliua watu wote? Soon mtaanza kuleta Story za Libya
 
Mkuu kama yalifaulu mbona yanapangwa mengine? Unajua maana ya maandamano kwanza?

Me nimetoa somo kama yakienenda kwa uzembe uleule nakuambia tunarudia kuzika.
Kurudia maandamano wala sio shida ni miongoni mwa kulazimisha waliojitangaza kwa wizi kujulishwa kama haupo kwenye kiti kwa uhalali wa kuchaguliwa.
 
anazidi kuya promo asante sana kwa support yako #D9 kitawaka
 
Tunaomba feedback kiongozi
 
Ninyi mnaojipachika utaalam wa mambo msiyoyajua, usipofanya research usituletee hii takataka. Kwenye maandamano ya Amani siku zote kuna baadhi wanakuja na malengo yao ama kwa kutumiwa na wasioyataka maandamano ama wahalifu rejea maandamano Makubwa ya North London ya mwaka 2011, na maandamano ya mauaji ya Gearge Floyd na Polisi Marekani mwaka 2020.

sababu za vurugu kwenye maandamano wakati mwingine huwa yanachangiwa na vyombo vya usalama na serikali pale wananchi wanapogundua kama wanaminywa hivyo wanajua hata kama maandamano yatakua ya amani bado vyombo vya usalama vita crash wahusika.

Kuhusu kuchoma moto magari na baadhi ya miundombinu kwenye maandamano ya tarehe 29 Lawama nyingi lazima zianze kwenda kwa Rais na si wahamasishaji sababu hakuna waliposema wanahamasisha watu wavunje sheria lakini Rais alisikika akisema yeye ni Amir Jeshi Mkuu atahakikisha usalama utakuwepo hiyo siyo kazi yake bali ni kazi ya Polisi kuwahakikishia waandamanaji kama usalama utakuwepo. Napolisi walisema waziwazi watawafanya watu viwete. Rejea Maneno ya Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Ndugu Magoti aliyoyatoa kabla ya Maandamano na usisahau Polis wapo chini ya huyo chizi aliesema atawafanya watu vilema

Kwa kukusaidia jaribu kupitia hapo chini kama Kisukuma kinapanda

Violent protest refers to acts of civil unrest that involve aggression or destruction, often occurring when individuals or groups feel that their voices are not being heard by government authorities. These protests can manifest in various ways, including rioting, armed rebellion, and terrorism. While some governments allow peaceful protests, violent protests are frequently met with severe suppression, often escalating into further violence. The debate surrounding violent protest centers on whether such actions are justified when faced with oppressive regimes. Proponents argue that violence may be a necessary means of defense against governments that ignore peaceful dissent, while opponents contend that violent actions rarely lead to meaningful change and often result in backlash against the protesters themselves. Historically, violent protests have led to significant social changes, but the outcomes can be unpredictable, sometimes resulting in worse oppression. In contemporary contexts, incidents have continued to spark discussions on the legitimacy of violent versus nonviolent protest, particularly in light of systemic injustices and societal tensions. Understanding the conditions that lead to violent protests can provide insight into the complexities of social conflict and the quest for change.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…