GE2025 Kwanini maandamano ya 29 October yatafeli vibaya sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sema we kahaba unajikutaga mjuaji sana alafu kumbe ni CLEVER FOOL
 
Guruwe la Kizimkazi, jambo ndugu??🐷🐷
 
Mkuu utajionea.
Kenya Tanzania mifumo yao ya kushughulikia mambo ni tofauti kabisa.

Mpaka sasa huoni nguvu na jitihada kubwa inayofanywa kudhibiti maandamano na wanapiga maeneo nyeti ambayo ndio msingi mkuu wa maandamano kufanikiwa.
Ni kweli
 
Maandamano kwa nchi yetu labda yawe ya kuipongeza serikali au yale ya May Mosi ila mengine mengine haya wataandamana vijana wa miaka ya 2000 kuja mbele.
Wataandamana pale ambapo watakuwa wameamua wenyewe kwa kukosa
Ajira
maisha mazuri
Mambo ya msingi
Sahihi kabisa
 
Hizi mambo za maandamano siku ya uchaguzi , nahisi itaathiri zaidi wapiga kura , kama ilivyo kawaida yetu ya uoga hata wenye nia ya kupiga kura wengi watajichimbia uvunguni .
upo mkuu, au upepo ulikupitia wa mo29? hauonekani
 
Chopeko kweli wewe
 
Wewe ni jayanti 👍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…