GE2025 Kwanini maandamano ya 29 October yatafeli vibaya sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Haya maandishi yameandikwa kama na think tank was UVCCM.

Maandamano yasingekuwa na mipango thabiti, usingepost hapa, watu wasingetishwa.

Otherwise taarifa na elimu inafika
 
Nadhani Turnout ya kujiandikisha ilikuwa nzuri tu mkuu; nilipita sehemu kigamboni nilikuta msururu mrefu kinoma na wengine wakiondoka...

Pia vijijini kule watu wemgi tu wataenda kupiga kura: kuna maeneo machache ya mjini ndiyo yanaweza kuwa na shida...
 
Haya maandishi yameandikwa kama na think tank was UVCCM.

Maandamano yasingekuwa na mipango thabiti, usingepost hapa, watu wasingetishwa.

Otherwise taarifa na elimu inafika
Hii ndio shida ya timu maandamano; hamchukui constuctive ideas ili mboreshe. Kazi kubwa ni attack and attck kila mtu anaefanya reasoning iliyo tofauti na nyie.
 
Watu walishakujua vzr sana.
WE HAUNA MADHARA YOYOTE YALE!
 
Umeelewa nilivyosema hakuna checks and balance kwenye jeshi letu mkuu? Yaani kesi ya nyani unampa ngedere asuluhishe, unategemea nini?

Ukiona nchi nyingine nyingi zinafanya peaceful demonstrations kuna mambo yapo kisheria na hata watu wakiandamana huoni jeshi la polisi likijichukulia sheria mkononi, kwetu haipo. Unaandamana mbele ya polisi anayeweza kushoot risasi za moto na kuuwa watu kadhaa bila yeye kuchukuliwa hatua zozote za kisheria, hii ipo kwetu na baadhi ya nchi chache duniani.

Halafu ujue tu polisi wanachohitqji ni equipment, wala sio idadi. 10,000 wanatosha kabisa kuifanya Dar ikae sawa wakiwa na right artillery/machinery. Kama unadhani kwa jeshi letu ni rahisi kuandamana basi toka peacefully uandamane ndio utaelewa jeshi letu linatumia akili, mabavu, kulinda maslahi ya watanzania au kundi fulani la watu.

Unaweza kumlaumu mtanzania kuwa mwoga na ukasahau weledi wa jeshi letu kumlinda mtanzania vs mtawala.
 
Kila mtu ataandamana kwa style yake.

1. Wengine watatoka kuandamana
2.Wengine wataandamana kwa kukaa ndani hawatapiga kura
3.wengine wataandamana kulinda raia wasiandamane badala ya kwenda kulinda usalama wa vituo vya kupigia kura.
4.wengine wataandamana namagari na maspika kuhamasisha watu watoke wakapige kura.

Yani kila mtu ataandamana kwa style yake sio lazima wote waandamane kwa aina moja.
 
Ngoja tuone mambo yatakavyokuwa, ila vyovyote vile Sa100 amejua watanganyika hawamtaki, inaweza isiwe 80% ila walau 50-60% hawapo sawa na uongozi wake.
 
Niliwasikia baadhi ya organisers huko mitandaoni wakisema waandamanaji waanze kwa kuchoma vituo vya mafuta pale Ubungo na sehemu nyingine ati anadai kuwa ni vya Abduli na Kikwete.

Mimi ni muumini wa maandamano ya AMANI siungi mkono kauli hiyo.
Lazima tutiane adabu kidogo

Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Mimi siungi mkono Riots bali nitaunga mkono maandamano ya AMANI ambayo yako kikatiba.
 
 

Hiki ndicho nimekizungumzi hapa kama ulisoma vizuri
Ndio sababu ya hayo maandamano kufeli vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…