GE2025 Kwanini maandamano ya 29 October yatafeli vibaya sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Hakuna anayepinga aya yako ya mwisho lakini mimi nazungumzia kufanikiwa au kutofanikiwa kwa maandamano.
 
Wewe una uhakika Gani kwamba hawajajipanga!?
 
Hoja nimetoa sita pale juu.
Watanzania sio waoga Mkuu. Hilo nitabisha mpaka kesho
 
wakiweka mipango siwatakuwa wamewapangia Mapolisi ! tusubiri. vituo vinajulikana familia za watekaji zinajulikana inatosha

Sahihi kabisa
Ila kwenye formation sioni kama kutakuwa na sub na wahusika wapya wenye kucheza katika. Viwango bora
 

Nimekupata barabara mkuu
 
Maandishi mengiii ambayo hayana tija. Bira umgetoa ushauri na sio kukatisha tamaa..
We toa ushaur kifanyike hiki kile etc.
Muamko ni mkubwa mnoo
Umenijibu na hujanielewa
Anyway, wenye pesa wazitunze,wente chakula mkitunze
Nawahakikishia mnaenda kuona ambayo hamkuyategemea kwa hawahawa watz wanaoonekana waoga

Ndo mtakapojua watz wa ss sio wale ,na hawana uoga tena
It's going to start km utani ila ndo hivyo
Tanzania mpya imeshazaliwa...
kiti kishachukuliwa muda spiritually...
 

Ni kweli watanzania sio waoga hilo hata mimi nakubaliana na wewe.
Ila tatizo ni hawana mipango.
 
Watanzania sio waoga
Sio waogo
Mark this.....there's going to be political revivals.... Political reset ...political revolution ...
Sbb ya haya nasikitika kusema sioni uch....pamoja na maandalizi yote tunapoteza pesa tu ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…