Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #161
Japo umeandika mambo meeengi, siku maandamano yatatokea TZ sijui ni nani atakayezuia.
Naona wengi ni wageni.
Genz wa Kenya kiongozi wao alikuwa nani?
Nachojua mimi kuna mahali hiyo serikali yenu dhalimu itajichanganya tu!! na hamtaamini kabisa kitakachowakuta ninyi machawa pro max
Binafsi naona kama yana asilimia kubwa ya kufeli. Sababu ni kuwa yamepangwa. Maandamano yenye matokeo hulipuka kama volcano na kuikumba mamlaka kwa ghafla. Hayapangwi na kuratibiwa na kuundiwa kamati. Lakini lolote linaweza kuwa.
Hakuna njia nyingine ya kutoboa NJE ya NGUVU ya UMMA.Hakuna anayefurahishwa na mambo yanayotokea hasa kwa sisi wapenda haki
Lakini pamoja na kukabiliana na dhuluma tunatakiwa uone namna gani tunatoboa
Exactly 💯Pessimists hawa, wanakufanya utie jihudi kwa unachofanya maana wao wapo negative kila mara.
Mpaka hapa tumefika pazuri, badala ya wao kufanya kampeni na kueneza sera, wapo busy kukanya watu wasiandamane na kwenda kupiga kura.
So, in a way wameupata ujumbe.
Acha nitulie nikimsubiri tesha huko aliko km ataongea au laa...!Ni kweli kwenye muujiza lolote huweza kutokea ila kisayansi haiwi hivyo
Usikariri nduguBinafsi naona kama yana asilimia kubwa ya kufeli. Sababu ni kuwa yamepangwa. Maandamano yenye matokeo hulipuka kama volcano na kuikumba mamlaka kwa ghafla. Hayapangwi na kuratibiwa na kuundiwa kamati. Lakini lolote linaweza kuwa.
Bado sana, uwe na uhakika unaweza kushangazwa sana mara hiiMkuu utajionea.
Kenya Tanzania mifumo yao ya kushughulikia mambo ni tofauti kabisa.
Mpaka sasa huoni nguvu na jitihada kubwa inayofanywa kudhibiti maandamano na wanapiga maeneo nyeti ambayo ndio msingi mkuu wa maandamano kufanikiwa.
Kuna kundi fulani la vijana, niliwasikia wakisema watatoka hiyo tarehe.Usikariri ndugu
Narudia usikariri kabisa
Pgopa "nyakati " huwa hazizuiliki
WaTZ bado hatuna utamaduni wa kuandamana.Kuna kundi fulani la vijana, niliwasikia wakisema watatoka hiyo tarehe.
Hawa watawala hawajajua bado itakuwaje
Endelea kujidanganya eti utamaduniWaTZ bado hatuna utamaduni wa kuandamana.
Ila ikotokea wakatoka hata watu laki 2, kwa serikali ya CCM ilivyo sasa haina uwezo wa kudhiniti.
Imechoka chakarii, hata uwezo wa kutatua kitatizo kidogo haina.
Na akikutukana yule mpaka umeze panadolMange atawatukana balaa. Wajiandae kisaikolojia kupokea matusi ya nguoni wasipoandamana. Kiongozi wa maandamano ni kichaa.
Mange atawatukana balaa. Wajiandae kisaikolojia kupokea matusi ya nguoni wasipoandamana. Kiongozi wa maandamano ni kichaa.
Hatari sanaMange atawatukana balaa. Wajiandae kisaikolojia kupokea matusi ya nguoni wasipoandamana. Kiongozi wa maandamano ni kichaa.
Sijasema haiwezekani, Mkuu.Endelea kujidanganya eti utamaduni
Narudia tena ogopa "nyakati"
Huwa zinaamua na hazizuiliki...
OkaySijasema haiwezekani, Mkuu.