Pre GE2025 Kwanini maandamano yoyote Tanzania yanatafsiriwa ni umwagaji damu hata yawe ya kupinga ufisadi wa mali za umma?

Pre GE2025 Kwanini maandamano yoyote Tanzania yanatafsiriwa ni umwagaji damu hata yawe ya kupinga ufisadi wa mali za umma?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
kiongozi anayejihami kwa polisi na wanajeshi ni kiongozi dhaifu, wenzake wanakuja na hoja wao wanaleta polisi?
kazi ya polisi ilitakiwa kuyalinda maandamano na kuzuia uvunjwaji wowote wa sheria kwa waandamanaji hao, ikiwemo vibaka kujichanganya na kuibia watu. ila kutumia polisi kuwatisha wanasiasa wenzaki halafu kesho unasimama kanisani na kusema uombewe, ni UZWAZWA... ni muda wanasiasa wajue nchi ni mali ya kila mtanzania, na demokrasia inasema wengi waamue na wachache wasikilizwe, sasa kama lichama likubwa la ccm linaogopa movement za amani za kichama kinachojifia CHADEMA, ni aibu hata kujisifu na mama yenu
Jiwe mwendakuzimu aliweka tunaini lake kwa jeshi na polisi badala ya Mungu lorona ikamchukua
 
Kama ni maandamano ya amani tunafanyaga kila siku kwenda kazini na kurudi, tunajaa kwenye magari na mabus na mwendokasi na boda boda na kwa mguu: hayo ni maandamano ya amani hatumgusi mtu. Hii ya sasa ni vurugu na matusi na kero za njia, haikubaliki.
Kakojoe ulale...tutaandamana
 
Back
Top Bottom