The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Ya kweli hayo? Mbona Yesu hakuwa na PhD? KkkkkKwa sababu kazi ya udaktari inahusiana na uhuishaji wa roho mbinguni hivyo inahitajika watu wa imani wawapeleke salama peponi shetani akose mgao jehanamu...
Hukusikia walikuwa wanamuita mwalimu, kilicho badilika leo ni hilo neo Phd tu basi.Ya kweli hayo? Mbona Yesu hakuwa na PhD? Kkkkk
πππ jibu zuri sanaHukusikia walikuwa wanamuita mwalimu, kilicho badilika leo ni hilo neo Phd tu basi.
Sawa mkuu...jibu zuri sana