Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barclays wameshusha naoKuna Banks ambazo credibility zake zipo juu..
Zimeshatengeneza majina " Brand " all over the World na hazibabaishwi sana na yanayoendelea katika Banks nyingine..
Mfano Barclays Bank, Citi Bank, Standard Chartered Bank...
Hizi ni Brand kubwa.
Usitegemee kila kitakachofanywa na Banks nyingine mfano kwenye hili la kupunguza riba nazo itakuwa ivyo.
OKBarclays wameshusha nao
Ni kweli mkuu. Tena hizi global brands kwa kiasi kikubwa zinashughulika na makampuni makubwa duniani kama Barrick, Exxon, Agrium, Monsanto na kadhalika.Kuna Banks ambazo credibility zake zipo juu..