Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Hujui mpira ndiyo maana unaleta post za kijinga. Ungekua na uelewa kidogo usingeandika hiki.Nimeshangaa hakuna uwiano wa habari kwenye vyombo vya habari,mechi inayopewa kipaombele ni ya Yanga vs Al Marekh na mechi ya Simba kupuuzwa.
Hata msafara unaongelewa wa Yanga na msafara wao wa makosta,waandishi wa habari wanaongelea Yanga tu na hata baadhi yao kusafiri na Yanga kama timu nzima ya clouds sport extra.
Kwanini vyombo vya habari vipo biased? Mechi ya Yanga ina nini hasa?
Wydad AC, Esperance de Tunis, Al ahly (Cairo), au Zamalek ulishawahi sikia mashabiki wao wameenda ? Ushamba mzigo hata Nigeria hawana huo ujinga bali kuna round zikifika wanaenda.Mashabiki wa Timu kubwa wanapenda na timu popote.acha uzwazwa
Nimeshangaa hakuna uwiano wa habari kwenye vyombo vya habari,mechi inayopewa kipaombele ni ya Yanga vs Al Marekh na mechi ya Simba kupuuzwa.
Hata msafara unaongelewa wa Yanga na msafara wao wa makosta,waandishi wa habari wanaongelea Yanga tu na hata baadhi yao kusafiri na Yanga kama timu nzima ya clouds sport extra.
Kwanini vyombo vya habari vipo biased? Mechi ya Yanga ina nini hasa?
Yanga ni timu ndogo Africa na haina uhakika wa kupata hata wale wafanyakazi wa balozi zetu au watanzania wanaoishi kwenye nchi nyingine wakawashangilie..Hapa ni sawa na mwanafunzi wa mwaka wa kwanza Chuo( Yanga) na mwanafunzi wa mwaka wa tatu Chuo (Simba).
Mwaka wa kwanza mchecheto wa kutosha.
Msiingie makundi halafu mtajua Kama sio issue halafu yanga aendelee.Wewe kwenye kumbukumbu zako Yanga kufika makundi cafcl ilikua mwisho mwaka gani?,ni zaidi ya miaka 20 imepita, ipo sababu Yanga kutumia nguvu kwenye hamasa kuzidi Simba ambao kufika na kuvuka makundi sio issue.
Rubbish!Hujui mpira ndiyo maana unaleta post za kijinga. Ungekua na uelewa kidogo usingeandika hiki.
Shabiki andazi alafu ushabiki wenyewe umeuanza juzi.
TAMBUA:
YANGA INA MIAKA 25 BILA KUFIKA HATUA YA MAKUNDI KLABU BINGWA AFRICA.Huo ndio upekee na watu wanasubiri kuona Ni Nini kitatokea.
Nb: Punguza umbumbumbu!
Ulikuwa Hujui Sasa umeelewa una miaka 25 bila kucheza makundi klabu bingwa Africa.Rubbish!
Una miaka 25 bila kufika makundi.Na kumbuka utelezi wa shirikisho haupo.Msiingie makundi halafu mtajua Kama sio issue halafu yanga aendelee.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu huoni na wewe ni sehemu ya tatizo? Uwiano ilikuwa na wewe ulete habari za Simba. Halafu kuhusu media, unatakiwa kujua kwamba habari ni biashara, habari zinazo-trend ndio zitafanya watu wasikilize radio, waangalie TV, kusoma magazeti na kuingia mitandaoni.Nimeshangaa hakuna uwiano wa habari kwenye vyombo vya habari,mechi inayopewa kipaombele ni ya Yanga vs Al Marekh na mechi ya Simba kupuuzwa.