Kwanini macho na masikio ni kwenye mechi ya Yanga na siyo Simba

Kwanini macho na masikio ni kwenye mechi ya Yanga na siyo Simba

Nimeshangaa hakuna uwiano wa habari kwenye vyombo vya habari,mechi inayopewa kipaombele ni ya Yanga vs Al Marekh na mechi ya Simba kupuuzwa.

Hata msafara unaongelewa wa Yanga na msafara wao wa makosta,waandishi wa habari wanaongelea Yanga tu na hata baadhi yao kusafiri na Yanga kama timu nzima ya clouds sport extra.

Kwanini vyombo vya habari vipo biased? Mechi ya Yanga ina nini hasa?
Hujui mpira ndiyo maana unaleta post za kijinga. Ungekua na uelewa kidogo usingeandika hiki.

Shabiki andazi alafu ushabiki wenyewe umeuanza juzi.

TAMBUA:

YANGA INA MIAKA 25 BILA KUFIKA HATUA YA MAKUNDI KLABU BINGWA AFRICA.Huo ndio upekee na watu wanasubiri kuona Ni Nini kitatokea.

Nb: Punguza umbumbumbu!
 
Hapa ni sawa na mwanafunzi wa mwaka wa kwanza Chuo( Yanga) na mwanafunzi wa mwaka wa tatu Chuo (Simba).
Mwaka wa kwanza mchecheto wa kutosha.
 
Mashabiki wa Timu kubwa wanapenda na timu popote.acha uzwazwa
Wydad AC, Esperance de Tunis, Al ahly (Cairo), au Zamalek ulishawahi sikia mashabiki wao wameenda ? Ushamba mzigo hata Nigeria hawana huo ujinga bali kuna round zikifika wanaenda.
 
Kwa sababu wanataka kuweka historia ya kuingia makundi baada ya miaka ishirini.. Simba imeshapita huko lengo ni kuingia nusu fainali ambayo bado iko mbele
Nimeshangaa hakuna uwiano wa habari kwenye vyombo vya habari,mechi inayopewa kipaombele ni ya Yanga vs Al Marekh na mechi ya Simba kupuuzwa.

Hata msafara unaongelewa wa Yanga na msafara wao wa makosta,waandishi wa habari wanaongelea Yanga tu na hata baadhi yao kusafiri na Yanga kama timu nzima ya clouds sport extra.

Kwanini vyombo vya habari vipo biased? Mechi ya Yanga ina nini hasa?
 
Hapa ni sawa na mwanafunzi wa mwaka wa kwanza Chuo( Yanga) na mwanafunzi wa mwaka wa tatu Chuo (Simba).
Mwaka wa kwanza mchecheto wa kutosha.
Yanga ni timu ndogo Africa na haina uhakika wa kupata hata wale wafanyakazi wa balozi zetu au watanzania wanaoishi kwenye nchi nyingine wakawashangilie..

Wale waliowapata pale Lubumbashi ilikuwa sanaa na wasanii na baada ya mechi tawi limekufa.
 
Wewe kwenye kumbukumbu zako Yanga kufika makundi cafcl ilikua mwisho mwaka gani?,ni zaidi ya miaka 20 imepita, ipo sababu Yanga kutumia nguvu kwenye hamasa kuzidi Simba ambao kufika na kuvuka makundi sio issue.
Msiingie makundi halafu mtajua Kama sio issue halafu yanga aendelee.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Habari za Yanga zinauzika.majobless wa Yanga wanamkwanja wa kununua habari iwe YouTube, Twitter, TikTok, Facebook nk.bando SI issues kwao.hata magazeti ukitaka kuuza andika kuhusu yanga.muulize Jemedari asipoitaja Yanga hakuna maokoto boss efm anawakata posho.yanga wamesomba coaster zote Kali nchi.hawa majobless ni Kama matajiri wa visima vya nafuta.wanatulia maokoto yanaingia tu.
 
Hujui mpira ndiyo maana unaleta post za kijinga. Ungekua na uelewa kidogo usingeandika hiki.

Shabiki andazi alafu ushabiki wenyewe umeuanza juzi.

TAMBUA:

YANGA INA MIAKA 25 BILA KUFIKA HATUA YA MAKUNDI KLABU BINGWA AFRICA.Huo ndio upekee na watu wanasubiri kuona Ni Nini kitatokea.

Nb: Punguza umbumbumbu!
Rubbish!
 
Ulikuwa Hujui Sasa umeelewa una miaka 25 bila kucheza makundi klabu bingwa Africa.

Nb:
Jikaze japo inauma, Ila ikiuma zaidi chomoa halafu timua mbio.

Sawa dadangu kipenzi. Much love to you my dada!
 
Nimeshangaa hakuna uwiano wa habari kwenye vyombo vya habari,mechi inayopewa kipaombele ni ya Yanga vs Al Marekh na mechi ya Simba kupuuzwa.

Hata msafara unaongelewa wa Yanga na msafara wao wa makosta,waandishi wa habari wanaongelea Yanga tu na hata baadhi yao kusafiri na Yanga kama timu nzima ya clouds sport extra.

Kwanini vyombo vya habari vipo biased? Mechi ya Yanga ina nini hasa?
Mkuu huoni na wewe ni sehemu ya tatizo? Uwiano ilikuwa na wewe ulete habari za Simba. Halafu kuhusu media, unatakiwa kujua kwamba habari ni biashara, habari zinazo-trend ndio zitafanya watu wasikilize radio, waangalie TV, kusoma magazeti na kuingia mitandaoni.

Lazima mkubali safari hii Simba mmefeli kwenye uhamasishaji na ku-brand mechi yenu na Power Dynamo. Hata hivyo tunawatakia kila la heri kwenye mechi yenu ya leo.
 
Ukumbi ninaoangalizia mechi, Yanga inaonyeshwa kwenye Tv Samsung kubwa sana wakati ya simba wamewekewa kwenye hitachi ya chogo nch 24
 
Back
Top Bottom