Umenisusa kabisa mkweMkweee upo kipande hii
Kua mpoleUmenisusa kabisa mkwe
Haya mkweKua mpole
We mtoto we!!Kwa hiyo ile haki ya 50/50 haitawekana kuwepo?
Aiseee!! Kazi ipoOk, kama ni hvyo basi nisiwasikie mkidai haki sawa kwa sawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji26] kweli wanaume tumeumbiwa mateso
Mods wana-favourism,
Jamii forum kuna pendelea zaidi wanawake kuliko wanaume.
Au anayemiliki hii Jamii forum ni mwanamke?
Topic zinazoponda wanawake zinafutwa, lakini topic zinazoponda wanaume hazifutwi kwanini?
Kwa mfano hapa Jf kumezuka mabishano sana baina ya wanaume na wanawake.
Team Vibamia fc(viba[emoji817]) VS Team malapa Fc(ndala)[emoji160]
[emoji12] kwanini thread zinazohusu team Malapa fc(ndala) zinafutwa, lakini thread zinazohusu vi[emoji817] fc hazifutwi?
[emoji41] Jf kuna double standard
Nb: Jamii forum msije mkafuta uzi wangu
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Ha haa mkome
Vifunikoni mwa asa..liUko sensitive sehemu gani??
Mods wana-favourism,
Jamii forum kuna pendelea zaidi wanawake kuliko wanaume.
Au anayemiliki hii Jamii forum ni mwanamke?
Topic zinazoponda wanawake zinafutwa, lakini topic zinazoponda wanaume hazifutwi kwanini?
Kwa mfano hapa Jf kumezuka mabishano sana baina ya wanaume na wanawake.
Team Vibamia fc(viba[emoji817]) VS Team malapa Fc(ndala)[emoji160]
[emoji12] kwanini thread zinazohusu team Malapa fc(ndala) zinafutwa, lakini thread zinazohusu vi[emoji817] fc hazifutwi?
[emoji41] Jf kuna double standard
Nb: Jamii forum msije mkafuta uzi wangu
lakn umenielewaMsonyo mwenyewe, tena huu mkubwa kabisaView attachment 418486[emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]