Kwanini mada za kuponda wanawake zinafutwa, lakini mada za kuponda wanaume hazifutwi?

Bora ule uzi ulifutwa,mana mpambano wake ungekuwa mkali hata invisible asinge amua.
 
Kikofia katika ubora wako
Mods wana-favourism,

Jamii forum kuna pendelea zaidi wanawake kuliko wanaume.

Au anayemiliki hii Jamii forum ni mwanamke?

Topic zinazoponda wanawake zinafutwa, lakini topic zinazoponda wanaume hazifutwi kwanini?

Kwa mfano hapa Jf kumezuka mabishano sana baina ya wanaume na wanawake.

Team Vibamia fc(viba[emoji817]) VS Team malapa Fc(ndala)[emoji160]

[emoji12] kwanini thread zinazohusu team Malapa fc(ndala) zinafutwa, lakini thread zinazohusu vi[emoji817] fc hazifutwi?

[emoji41] Jf kuna double standard

Nb: Jamii forum msije mkafuta uzi wangu
 
homa ya akili ni mbaya kuliko inavyofikiriwa
 
Back
Top Bottom