Kusini pride
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,762
- 4,079
vip? Shithole weweHii thread pia ni mojawapo!
Too many stupid people with smart phones.
una hasira sio, mpumbavu tu ndio hukaa na hasira.Kivip? Shithole wewe
Yaani inasikitisha sana ,social media ni mada za ngono ,kuonyesha makalio yaani ukiwa kwenye public ni ngumu kuangalia social networks maana unaweza kuaibika.Hii inakera sana na inanichukiza natamani niache kuingia social networks au kusikiliza main stream media au kuangalia main stream media kwa huu ujinga ambao unatrend yaani all the time and all the day mijitu inazumgumzia ngono ngono ngono,mapenzi,usaliti na upumbavu ungine kama huo yaani kiukweli hizi mada zimenichosha aisee nimeblock we mpaka nimeshindwa natamani niitupe simu aisee
Huu ujinga utaukuta sana huku ukimani au Afrika hususani nchi ya kusadikika na yenye majuha kama Tanzania yaani hii nchi ingekuwa bize kuzungumzia kuhusu technology na maendeleo hii nchi ingekuwa mbali sana aisee
Hii thread pia ni mojawapo!
Too many stupid people with smart phones.
Naomba niwaandalie ulingo mna kitu…!! 😹😹Ki
vip? Shithole wewe
Naomba na wewe uwepo nikupige kwanza viwili vya nguvu.Naomba niwaandalie ulingo mna kitu…!!
Mbona unaanza uoga mapema..!! 😹😹Naomba na wewe uwepo nikupige kwanza viwili vya nguvu.
[emoji1787][emoji1787]
makonde mwenye aje tu me na ngumi ndoige akikwepa kulia inamfata kushoto anayo akienda dukani ipo haimuachi mtu, mpaka atubu!Mbona unaanza uoga mapema..!!
Tulia hayo majibu utoe kwenye ulingo utakapokua unachezea makonde km jina la hasimu wako..!!
Naunga mkono hoja mkuu..........Tukizungumzia hacking mnatutafuta mtupige, tukiwasema kwenye siasa mnatupoteza, tukisoma tukapata degree mnataka turudi veta!.. Hapa ni kuzungumzia nyash na nyash tu ndo tutakuwa salama
mtoa mada umeshachukua form ya kujiunga VETA???
Mla kodi unamasiriko hivi hahahahahaaa wewe unastress bwana nenda VETA ukachukue ujuzi uache kushinda mitandaoni ili usiwe unaboreka na aina za mada zinazojadiliwa.Mimi nakula kodi zenu wapumbavu wakitanzania O