Kwasababu chanzo cha dhambi zi mapenzi.Hii inakera sana na inanichukiza natamani niache kuingia social networks au kusikiliza main stream media au kuangalia main stream media kwa huu ujinga ambao unatrend yaani all the time and all the day mijitu inazumgumzia ngono ngono ngono,mapenzi,usaliti na upumbavu ungine kama huo yaani kiukweli hizi mada zimenichosha aisee nimeblock we mpaka nimeshindwa natamani niitupe simu aisee
Huu ujinga utaukuta sana huku ukimani au Afrika hususani nchi ya kusadikika na yenye majuha kama Tanzania yaani hii nchi ingekuwa bize kuzungumzia kuhusu technology na maendeleo hii nchi ingekuwa mbali sana aisee
Usiichukie nchi.Chukia hao wanaokukwaza kwa hizo tabia.Hii inakera sana na inanichukiza natamani niache kuingia social networks au kusikiliza main stream media au kuangalia main stream media kwa huu ujinga ambao unatrend yaani all the time and all the day mijitu inazumgumzia ngono ngono ngono,mapenzi,usaliti na upumbavu ungine kama huo yaani kiukweli hizi mada zimenichosha aisee nimeblock we mpaka nimeshindwa natamani niitupe simu aisee
Huu ujinga utaukuta sana huku ukimani au Afrika hususani nchi ya kusadikika na yenye majuha kama Tanzania yaani hii nchi ingekuwa bize kuzungumzia kuhusu technology na maendeleo hii nchi ingekuwa mbali sana aisee
😂Tukizungumzia hacking mnatutafuta mtupige, tukiwasema kwenye siasa mnatupoteza, tukisoma tukapata degree mnataka turudi veta!.. Hapa ni kuzungumzia nyash na nyash tu ndo tutakuwa salama!.