maurice bernad
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 314
- 213
Duuh ila wanaoachia ni wanawake bhna wanaume tunawekeza tuumimi kama mdada mwaka huu umekuwa na mafanikio sana kwangu.kuhusu maisha sijui kusoma namba nasoma tu humu
masponsor wapo tu kama umeandikiwa haitaji nguvu wala nini.namba mtazisoma nyie wanaume .wanaume wachoyo ndo mnavojipa moyo hivo ila jua wewe ukibana wenzio wanaachia mchana kweupe
Tupo pamoja.. enjoying your day...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya Professor nisamehe
Unajishaua lakini moyoni unajua kabisa ipo siku utaumbukambona me bado najishaua?????
Kwani wewe unaishi kwa mizinga kikosi maalum cha pangawe jeshini.mimi kama mdada mwaka huu umekuwa na mafanikio sana kwangu.kuhusu maisha sijui kusoma namba nasoma tu humu
masponsor wapo tu kama umeandikiwa haitaji nguvu wala nini.namba mtazisoma nyie wanaume .wanaume wachoyo ndo mnavojipa moyo hivo ila jua wewe ukibana wenzio wanaachia mchana kweupe
miss natafuta toa majibu sasa!unaonga ili iweje, au upate nini!
Na kwanini ujiweka kuhongwa hongwa..! Hujiwezi, huna akili timamu, wewe ni cheap, wewe ni bidhaa.. kwanini ukubali kuhongwa...? Nakuuliza wewe Miss Nafatufa
Mimi naona asiyatoe yeye peke yake Bali wanawake woote including Me -waje wayatoe majibu ya kwanini kuhongwa hongwamiss natafuta toa majibu sasa!
ok anza basi!Mimi naona asiyatoe yeye peke yake Bali wanawake woote including Me -waje wayatoe majibu ya kwanini kuhongwa hongwa
Unanikoshaga sana muda mwingine.mimi kama mdada mwaka huu umekuwa na mafanikio sana kwangu.kuhusu maisha sijui kusoma namba nasoma tu humu
masponsor wapo tu kama umeandikiwa haitaji nguvu wala nini.namba mtazisoma nyie wanaume .wanaume wachoyo ndo mnavojipa moyo hivo ila jua wewe ukibana wenzio wanaachia mchana kweupe
Na hongwa kwa kuwa Naturally Mwanamke kaumbiwa kupewa, haswa kupewa na Mwanaumeok anza basi!
tumekusikia tutakufikiamimi kama mdada mwaka huu umekuwa na mafanikio sana kwangu.kuhusu maisha sijui kusoma namba nasoma tu humu
masponsor wapo tu kama umeandikiwa haitaji nguvu wala nini.namba mtazisoma nyie wanaume .wanaume wachoyo ndo mnavojipa moyo hivo ila jua wewe ukibana wenzio wanaachia mchana kweupe
Vyuma mkuu hakuna kingineKuna madada wawili watatu nawajua ambao walikuwa na maringo balaa siku za nyuma lkn oversudden nawaona wanabadilika kwa kasi ya 4G.
1.Mfano kuna mmoja nilisoma nae siku za nyuma,alikuwa montress alikuwa hanipendi balaa yaani kwa siku alikuwa ananiandika mara tatu swahili speaker lkn cha ajabu jana ananitumia txt eti MSAGA SUMU hivi unajua nilkuwa nakukubali tokea siku ya kwanza.
2. Kuna dada mwingine alikuwa CRDB kijitonyama kaunta,niliwahi kumuomba chenji ya buku 10,aisee aliniangalia jicho baya halafu akaniambia niende kwenye ATM kuchukua chenji, basi leo nimeenda na mishe zangu zingine ile kuniona tu akaniwahi kaka unahitaji chenji? Nikisema tayari nimeisha chenji kwenye ATM.
Wadau hii hali inaweza kuwa inasababishwa na hasara zinazopata hizo benki au vipi? Au ndo wanajua kuwa kuna layoff za maana inafuata so wanaanda mazingira mazuri ya sisi madalali kuuza magari yao ya mkopo?
Au kuna kitu kingine mimi sikijui?
Kwahiyo anauza?Ukishusha bei nicheki.😱
wa tawi gani mkuuMimi huwa nahudumiwa freshi tu hasa hasa nikikuta mdada, na kuna mmoja nilimkosa kosa kumla bahati yake yule.